Uislam haushindani Dhidi ya dini yoyote nyingine.Hapo zamani kulikuwa na mabasi yakiitwa Bajbery
Sasa anatujuza mazuri ya uislam dhidi ya mabaya ya dini gani?
Ukumbuke pia Watuhumiwa waliochota bilion 356 za Escrow ni Waumini wenzako hakuna Muislam pale.Ni kweli maana watuhumiwa wengi wa madawa ya kulevya ni wao, uko sahihi kwa utajiri tata walionao. Mtu hajasoma shule ila ana elimu ya madrasat tu lakini leo hii anamiliki utajiri usioingia kichwani.
Anzeni kuandaa wachinjaji,maana mtaishia kutengeneza chuki za kuonewa tuMahaasin TV,Ni Televisheni ya Pili ya Kiislam,Kukabidhiwa Leseni ya Kurusha Matangazo Yake. Kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.Inapatikana Kupitia Continental Decorder,na pia Kwa Kupakua App yake ndani ya Google Play Store.
Mahaasin TV(Pata Kujua Wema wa Uislam)
Ndo wapi hukoUherumani,magaidi wamechoma MSIKITI na inasemekana si waislam
Jamaa mbishi,umaskini si sifa ya waislam,na kwa taarifa yako hapa bongo matajiri wskubwa wanaomiliki uchumi wa nchi ni waislam,hivyo chuki zako za kifala hazikisaidii
Mavazi kila mtu anachagua ayapendayo,ni washamba tu wanaiga kila kila kitu,hadi mavazi ya kishogaKuna TV moja ya kiislam kuna siku nilicheka yan host wa kipindi pamoja na guest wote wamevaa majuba kama maninja hata hawatambuliki kwa sura zaidi ya majina tu.
Ila mafunzo ya kishoga ni sahihi!Tafadhali msituletee mafunzo ya ugaidi hapa nchini. Tanzania ni nchi ya Amani....nawaomba TCRA mvipitie vipindi vya stesheni hii kama vina maadili mema na taifa letu.
Wala nguruwe hawajui kuwa hii ni neema kwao ya kujua mengi na kutoa elimu kwao kuwa ulaji nguruwe na ushoga ni vitendo kharamu.Hapa duniani kuna asilimia kubwa sana ya watotobwa haramu, hususana nchini watoto wa nje ya ndoa.... Nategemea TV hii itasadia jamii kulea na kutunza maadili ya uraiani...!!!!
Trump asubiri huko ujumbe tumfikia....
Kwenye kila zuri kuna chembe chembe za mabaya ndani yake, hivyo nawasihi waislamu wenzangu watakaokua kwenye iyo Tv station kuongea ukweli, kukosoa na kukemea matendo maovu ya baadhi ya viongozi wa Dini na wale wote wanaotumia Dini kama mwamvuli wa kukamilisha machafu yao! ikiwezekana waanze na BakwataKauli mbiu take,Inalenga Kuujuza Umma Kuhusu Mazuri ya Uislam.Usikose kuifuatilia kwa Njia tajwa hapo juu.
sawa ila punguzeni ubaguziWewe ni Mbaguzi tu huna lolote kwa taarifa yako tv za kiislam zitazidi kuwa nyingi maana Waislam wengi wako vizuri kiuchumi
Yareti waTz wengi wawe na upeo kama wako !!!Kwenye kila zuri kuna chembe chembe za mabaya ndani yake, hivyo nawasihi waislamu wenzangu watakaokua kwenye iyo Tv station kuongea ukweli, kukosoa na kukemea matendo maovu ya baadhi ya viongozi wa Dini na wale wote wanaotumia Dini kama mwamvuli wa kukamilisha machafu yao! ikiwezekana waanze na Bakwata
Ila mafunzo ya kishoga ni sahihi!
ndio zao wabaguzi sana tena ukute ambaye ajasoma elimu dunia hiyo tv itakuwa n shida habari zao zitakuwa n pwani,zanzibar na tangaKuna TV moja ya kiislam kuna siku nilicheka yan host wa kipindi pamoja na guest wote wamevaa majuba kama maninja hata hawatambuliki kwa sura zaidi ya majina tu.