Magufuli, what goes around comes around

People shouldn't be AFRAID of their GOVERNMENTS.
GOVERNMENT should be AFRAID of their PEOPLE./

Wananchi WASIZIOGOPE SERIKALI zao.
Bali SERIKALI ZIWAOGOPE WANANCHI wao.
By Allan Moore.
mawazo ya Allan moore yako sahihi kwenye nchi zilizoendelea kidemocrasia. huku kwetu ukipinga serikali utakamatwa na utashitakiwa na hata ukiandamana either utauawa or kushitakiwa pia. Ila ipo siku Mungu atajibu maombi ya watu wake...
 
Huyu bwana kama sera yake ni kuwakwapua watu na kuwatajirisha nduguze, au kuwachukia watu kwa sababu ya kule watokako, mimi nawausia huo mpango haufai na utaliangamiza taifa. Nakutolea mfano hai, Pemba ilikuwa ikizalisha tani 100,000 kwa mwaka za karafuu, kabla na baada kidogo ya Mapinduzi ya 1964. Karume alipotunyanganya mashamba yetu na kuwapa nduguze sasa karafuu zinapatikana tani 4000 tu kwa mwaka. Pia alifilisi mali za watu na kufanya mauwaji makubwa sana pamoja na kujenga chuki. Kwa taarifa yako wale waliodhulumiwa miaka ile hivi sasa wao ndio matajiri tena sio Tanzania tu bali hata nje ya Tanzania. Ukiwachukia watu wa kilimanjaro ama Arusha basi na wao watakuwa kama wapemba hawatohangaika sana na maisha. Maana wanakuwa ni vifaranga yatima watajifunza tokea utotoni namna ya kuchakura. Hivyo bwana Tety hilo wala lisikughumishe
Umeona ehhh ata sisi wa matetemeko ipo siku
 
mawazo ya Allan moore yako sahihi kwenye nchi zilizoendelea kidemocrasia. huku kwetu ukipinga serikali utakamatwa na utashitakiwa na hata ukiandamana either utauawa or kushitakiwa pia. Ila ipo siku Mungu atajibu maombi ya watu wake...
Hapo ndo Afrika tuna matatizo. Demokrasia tunaitaka lakini vifurushi yake vinavyoambatana nayo hatuvitaki hii ni hatari sana!
 
Tangia alipo ukwaa ukuu wa Nchi, mtukufu huyu amefanya siasa za nchi hii kuwa "the living hell". Democrasia iko mashakani na upinzani nchini Tanzania uko kwenye hali ngumu kuliko nyakati zozote katika historia ya vyama vingi nchini.

Utawala wa sheria: Utawala wa sheria (Rule of Law) umekuwa defective na wanasiasa wamekuwa juu ya sheria kwa kutoa matamko tata na batili yenye kuvunja sheria ikiwemo katiba ya Nchi. watu wana achishwa kazi bila hata kupewa nafasi ya kusikilizwa (Right to be heard) na kwa midadi ya kisiasa unauliza hadhira "eti nitumbue au nisitumbue"- na kwa kuwa huoni mbali unatumbua kweli!-wapambe wako wa kisiasa wanancheka na kukupongeza huku familia za wahanga wakilia.....

Mgawanyo wa madaraka: katiba ya JMT inatoa mgawanyo wa madaraka kwa mihimili mikuu ya serikali na kila mhimili uwe independent na usiingiliwe katika utendaji kazi. Lakini leo hii, Rais anaingilia kazi za mahakama na huku akipenda awe mlalamikaji, mwendesha mashitaka na hakimu/judge at the same time...

Ushauri
Ewe mtukufu kumbuka kuwa cheo cha Urais kina ukomo/mwisho. Siasa siyo uadui bali ni fani/carrier inayowapa watu fursa ya kuitumikia jamii. kuna leo na kesho na kesho yake henda ikawa mbaya....who knows! kuwakamata wapinzani hakujengi bali ni kubomoa misingi ya amani na mshikamano katika jamii yetu. (I guess you have a family too...waepushe na kisasi cha hawa unaowasulubu leo)...

Prof
Hufahamu aina za ubatizo siyo?usikariri,wala kumtisha mtu.Mwache Rais atimize wajibu wake kwa umma,ninyi mmezoea vya bure awamu hii hakuna JPM kaza baba kazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mkuu, democrasia ina mapana yake. Historia iko wazi kuhusu waasisi wa democracy Duniani na waasisi hao waliteseka ili ulimwengu upone. sizani kama itakuwa vyema tukianza kuelezea historia ya democracy ulimwenguni na hata Tanzania kwa ujumla ila kwa vyovyote vile-public expectation ni kuwa kuwepo uongozi bora, siasa safi na ustawi wa jamii. packages na viambatana vyake in term of negativity is bad news kwa wapenda haki, amani na usawa.
 
mawazo ya Allan moore yako sahihi kwenye nchi zilizoendelea kidemocrasia. huku kwetu ukipinga serikali utakamatwa na utashitakiwa na hata ukiandamana either utauawa or kushitakiwa pia. Ila ipo siku Mungu atajibu maombi ya watu wake...
Ni lazima turudi kwa Mwalimu Nyerere.Mwal alikuwa na HEKIMA sana, hata kama alikuwa na MAPUNGUFU yake.

Wakati wa VUGUVUGU la vyama VINGI limeanza Tanzania Mwal hapo kwanza alikuwa AMEKATAA na wala hataki kusikia mambo kama hayo.

Lakini alipoona WIMBI hili ni zito na HASA baada ya TUKIO ambalo sitalitaja hapa LILIOITETEMESHA Tanzania na kutupa AIBU Tanzania huko Uingereza na ulimwenguni kwa ujumla.

Mwalimu akasema "Kama wananchi WANATAKA VYAMA VINGI WAPENI". Kwa hekima hiyo WIMBI likatulia.
Na baadaye Mwalimu akiona WATU WAMECHANGE akaamua KUACHIA MADARAKA.

Si kwamba alikuwa ni MWOGA bali ALISOMA dalili za NYAKATI na akatumia HEKIMA na kujiengua kwenye URAIS.

Hata hapa ni Hekima tu inayohitajika katika Kuwahandle wapinzani.
KUTUMIA NGUVU HAKULIPI. Na matokeo yake huwa ni counterproductive
 
Hufahamu aina za ubatizo siyo?usikariri,wala kumtisha mtu.Mwache Rais atimize wajibu wake kwa umma,ninyi mmezoea vya bure awamu hii hakuna JPM kaza baba kazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
tumezoea vya bure? duuh! sikulaumu kwa ukilaza huo. Naamini wewe siyo waziri, mbunge wala ukoo wenu hauna viwanda kwamba utakuwa tajiri. sana sana unachumia tumbo tu. we endelea kupanua tu, ipo siku wataku dump na itakuwa too late...
 
Hivi kuanza kudeal na ishu za maendeleo kwa wananchi lini mnaanza?? Awamu hii naona kila kitu kimesimama, wanahangaika na wapinzani pamoja na mambo mengine ambayo ilitakiwa wa deal nayo sambamba na ishu za maendeleo…. !!Kinachoendelea ni nn? Mimi naona giza tu!!
 
Tangia alipo ukwaa ukuu wa Nchi, mtukufu huyu amefanya siasa za nchi hii kuwa "the living hell". Democrasia iko mashakani na upinzani nchini Tanzania uko kwenye hali ngumu kuliko nyakati zozote katika historia ya vyama vingi nchini.

Utawala wa sheria: Utawala wa sheria (Rule of Law) umekuwa defective na wanasiasa wamekuwa juu ya sheria kwa kutoa matamko tata na batili yenye kuvunja sheria ikiwemo katiba ya Nchi. watu wana achishwa kazi bila hata kupewa nafasi ya kusikilizwa (Right to be heard) na kwa midadi ya kisiasa unauliza hadhira "eti nitumbue au nisitumbue"- na kwa kuwa huoni mbali unatumbua kweli!-wapambe wako wa kisiasa wanancheka na kukupongeza huku familia za wahanga wakilia.....

Mgawanyo wa madaraka: katiba ya JMT inatoa mgawanyo wa madaraka kwa mihimili mikuu ya serikali na kila mhimili uwe independent na usiingiliwe katika utendaji kazi. Lakini leo hii, Rais anaingilia kazi za mahakama na huku akipenda awe mlalamikaji, mwendesha mashitaka na hakimu/judge at the same time...

Ushauri
Ewe mtukufu kumbuka kuwa cheo cha Urais kina ukomo/mwisho. Siasa siyo uadui bali ni fani/carrier inayowapa watu fursa ya kuitumikia jamii. kuna leo na kesho na kesho yake henda ikawa mbaya....who knows! kuwakamata wapinzani hakujengi bali ni kubomoa misingi ya amani na mshikamano katika jamii yetu. (I guess you have a family too...waepushe na kisasi cha hawa unaowasulubu leo)...

Prof

Acha kutisha watu wewe, kwa misemo yako isiyo na mbele wala nyuma, unafikiri Dunia hii imeanza leo?
 
simtishi mtu! sanasana namkumbusha tu. rafiki wa leo huenda akawa adui wa kesho. Tanzania ni ya wote sote na wala siyo ya Magufuli wala Barbarosa...Ni nchi ya watanzania. majuto ni mjukuu...walisema wahenga!!
 
Niliwahi kuwaza kama wewe ila hili yeye halioni.Na sio wanasiasa tu na hata hawa anaowatimu hajui kesho watakuwa kwenye nafasi gani.Hata watoto wa hawa nao hajui kesho watakuwa kwenye nafasi gani na watoto wake watakuwa kwenye nafasi.

Ukiadhibu watu kwa haki na kwa kufuata sheria hata Mungu atakulinda ila ukitenda mambo kwa chuki malipo ni hapa hapa duniani

Ebananeeee umeiona orodha ya Makonda? Mwenyekiti Mbowe yumo
 
Lakini haya tunayataka wenyewe watanzania nchi nyingine wangeonyesha kupinga japo kuandamana nchi nzima ila sisi tunalalamika chini chini acha aendelee kutuonea tu
nchi nyingine watu wakiandamana kueleza hisia zao wanaongozwa na kulindwa na vyombo vya usalama wa raia. hapa kwetu hata mkianza kujikusanya tu mnatandikwa risasi na policcm! sasa hivi tanzania iko mikononi mwa Muumba tu ndiye anaweza kutufanyia muujiza. vinginevyo twaaafa
 
Back
Top Bottom