Magufuli soma vitabu hivi vitakusaidia

It has to do, them Europeans destroyed a spiritual aspect of black men by destroying his culture and introduce their culture which would favour them all along, its called willie lynch my friend, soma iyo kitu mkuu.

We were great people, zaidi ya 10000 different society existed in al kebulan(africa later), there was governments, colleges, architecture, agriculture, blacksmith etc. They learnt everything from us them cave dwellers, we were first to inhabit the globe. They just killed our spiritual affair after coming to the realization that they couldn't annihilate the whole black race.

One thing positive they did, they enhaced our unity without knowing, there are fifty sumthn countries now. As the tribes adapt to one another in single african nation. Countries will later evolve and adapt as well and we'll have a united states of sub sahara africa. USSSA. :D:D:cool:
 
it's obvious Europe established transportation system like railways and road which are still used in Africa, the governance system which is still used, communication systems, educational systems, financial and economic management systems and many others which are foundations of many advanced African nations like South Africa, Kenya, etc
Maybe you are right or not - we see things in a different perspective, which is okay anyway! However, Rodney's central focus was far beyond infrastructures. He had a bigger picture of the root cause of the Africa problems. In sum, Rodney reasoned that Africa underdevelopment was due to colonial imperialism. In his view, Africa development was/is possible only on the basis of a radical break with the international capitalist system -(The World Bank, The International Monetary Fund etc), which has been the principal agency of underdevelopment of Africa over the last five or so centuries. Apparently, theories such as the World system theory can help shade light on what Rodney really thought about 44 years ago!
 
kwa taharifa yako namkubali sana JK kuliko unavyodhani yule ni role model wangu acha ujinga wewe

Huyo Dhaifu lazima awe role model wako kwani wewe ni msanii wa bongo flava!! Huyo role model wako kwa miaka 10 alikuwa hajui kwanini nchi yake ni maskini huku akisaini mikataba bila kujua kuwa alikuwa anauza nchi!!!
 
Zoezi lake la utumbuaji majipu, na kuumiza wengi kwa makosa ya watawala waliopita wanaoendelea kulipwa pensheni kwa fedha za wavuja jasho angejisomea riwaya ya kuli., ingemsaidia sna.
 
Mtoa post unachekesha sana, huamini dhana ya Rais kutegemea ushauri,Stll, unamshauri akasome kitabu ili apate ushauri
washauri wakehuenda pia hawasomi vitabu sasa bora asome mwenyewe,tatizo la rais kutegemeawashauri ni pale unapokuwa na mgeni na anakuuliza kitu kipya ambacho hukutegemea au ukona wandishi wa habari wa kimataifa unaulizwa why is Tanzania poor?kama husomi vitabu utajibu kama yule aliyesema hajui kwa nini Tanzania ni Masikini alafu bado yuo magogoni
 
Huyo Dhaifu lazima awe role model wako kwani wewe ni msanii wa bongo flava!! Huyo role model wako kwa miaka 10 alikuwa hajui kwanini nchi yake ni maskini huku akisaini mikataba bila kujua kuwa alikuwa anauza nchi!!!
ni role model wangu katika kutengeneza fitna sio utawala kwani mimi kazi yangu kubwa inahitaji fitna ili ifanikiwe
 
Najua watanzania wengi ni wavivu wa kusoma wakisingizia vitabu bei mbaya sasa kwa JPM huna kisingizio ikulu ina bajeti ya majarida na vitabu.

Mzee mkapa alipokuwa akisafiri alikuwa hakosi kusoma kitabu njiani lakini JK mara zote akisafiri zile safari zake alikuwa na ipod akisikiliza bongo flavor...ni utamaduni mpya wa kutosoma vitabu

Kuna watu wanadai eti urais ni taasisi eti unawashauri sijui blabla,huo ni uongo ,Rais lazima ujue mambo mengi wewe ndio kioo cha watu.

Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya vitabu unavyotakiwa kuanza kuvisoma mwka huu,nitakupatia sehemu ya pili muda si mrefu

Mimi ni raia wa kawaida tu ila napenda kusoma vitabu na najua nguvu iliyopo kwenye vitabu

Na nafahamu umesoma masomo ya sayansi kuna uwezekano vitabu hivi ukawa hujavipitia au umevipitia

Lengo ni kuwekana sawa elimu haina mwisho sina nia nyingine zaidi ya kukukumbusha tu

1.THE GREEN BOOK-BY MUAMMAR GADDAFI
hapa utajifunza jinsi Libya ilivyojua kutumia resouces zake mpaka wazungu wakashangaa

2.THEWORD SINCE 1800-BY SNELLGROVE
hiki ni kitabu cha historia ya dunia tangu mwaka 1800 huenda hujakisoma kwa wewe mwanasayansi

3.HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA-WALTER RODNEY(MTUNZI NI MWANAHARAKATI RAIA WA GUYANA ALIWAHI KUFUNDISHA UDSM MIAKA YA 60's AU 70's

4.ATLAS FOR SECONDARY SCHOOL najua mama anayo hapo nyumbani kwani ye ni mwalimu,hii itasaidia kujua Libya iko wapi na Belinze au Trinidad na Tobago ziko wapi au Mauritania na Mauritius ni nchi mbili zilizo sehemu tofauti Africa

5.WORLD FACT BOOK -BY CIA

6.FREEDOM AND UNIT PAMOJA NA UONGOZI WET NA HATMA YA TANZANIA -BY JK NYERERE

7.SAVE THE CAT-BY BLAKE SNYDER(KINAHUSU SPEECH NA JINSI YA KUJIELEZA KIPROFESSIONAL)

8.FROM THIRD WORLD TO FIRST-THE SINGAPORE STORY 1965-2000-BY LEE KUAN YEW(BABA WA TAIFA LA SINGAPORE HUYU NDIYE NYERERE WAO)

9.POLITICAL DICTIONARY--BY TAEGAN GODDARDS

10.BIBLE na KORAN (HUMU KUNA MAARIFA KIBAO)
.............Itaendelea..................

save-the-cat-by-blake-snyder.pdf
 
Asome pia The Great Controversy by Ellen G. White. Kinaeleza historia ya dunia, wanaharakati walivyouawa wakitetea haki na misimamo yao na jinsi dunia itakavyofikia mwisho wake. Na wewe pia soma kitakusaidia kuwa jasiri na kuelewa yakupasayo kutenda
 
nakifahamu hicho kitabu nimesoma cha kiswahili chake kinaitwa PAMBANO KUU kama sikosei ni cha wasabato,mkuu mi nasoma kila kinachokatiza mbele yangu
 
Maybe you are right or not - we see things in a different perspective, which is okay anyway! However, Rodney's central focus was far beyond infrastructures. He had a bigger picture of the root cause of the Africa problems. In sum, Rodney reasoned that Africa underdevelopment was due to colonial imperialism. In his view, Africa development was/is possible only on the basis of a radical break with the international capitalist system -(The World Bank, The International Monetary Fund etc), which has been the principal agency of underdevelopment of Africa over the last five or so centuries. Apparently, theories such as the World system theory can help shade light on what Rodney really thought about 44 years ago!
in all honesty, Africa cannot stand on its own,
African states have proven to be too big for their leaders to manage, unite and organize, how can Africa break up from the world systems and organize their own institutions while their leaders can't even manage their own states?
Congo, Tanzani, Sudan, South Africa, Nigeria etc.. with the potential in their land they were not supposed to be in this abject poverty,
and that has nothing to do with colonialism but the attitude of their people
 
Najua watanzania wengi ni wavivu wa kusoma wakisingizia vitabu bei mbaya sasa kwa JPM huna kisingizio ikulu ina bajeti ya majarida na vitabu.

Mzee mkapa alipokuwa akisafiri alikuwa hakosi kusoma kitabu njiani lakini JK mara zote akisafiri zile safari zake alikuwa na ipod akisikiliza bongo flavor...ni utamaduni mpya wa kutosoma vitabu

Kuna watu wanadai eti urais ni taasisi eti unawashauri sijui blabla,huo ni uongo ,Rais lazima ujue mambo mengi wewe ndio kioo cha watu.

Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya vitabu unavyotakiwa kuanza kuvisoma mwka huu,nitakupatia sehemu ya pili muda si mrefu

Mimi ni raia wa kawaida tu ila napenda kusoma vitabu na najua nguvu iliyopo kwenye vitabu

Na nafahamu umesoma masomo ya sayansi kuna uwezekano vitabu hivi ukawa hujavipitia au umevipitia

Lengo ni kuwekana sawa elimu haina mwisho sina nia nyingine zaidi ya kukukumbusha tu

1.THE GREEN BOOK-BY MUAMMAR GADDAFI
hapa utajifunza jinsi Libya ilivyojua kutumia resouces zake mpaka wazungu wakashangaa

2.THEWORD SINCE 1800-BY SNELLGROVE
hiki ni kitabu cha historia ya dunia tangu mwaka 1800 huenda hujakisoma kwa wewe mwanasayansi

3.HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA-WALTER RODNEY(MTUNZI NI MWANAHARAKATI RAIA WA GUYANA ALIWAHI KUFUNDISHA UDSM MIAKA YA 60's AU 70's

4.ATLAS FOR SECONDARY SCHOOL najua mama anayo hapo nyumbani kwani ye ni mwalimu,hii itasaidia kujua Libya iko wapi na Belinze au Trinidad na Tobago ziko wapi au Mauritania na Mauritius ni nchi mbili zilizo sehemu tofauti Africa

5.WORLD FACT BOOK -BY CIA

6.FREEDOM AND UNIT PAMOJA NA UONGOZI WET NA HATMA YA TANZANIA -BY JK NYERERE

7.SAVE THE CAT-BY BLAKE SNYDER(KINAHUSU SPEECH NA JINSI YA KUJIELEZA KIPROFESSIONAL)

8.FROM THIRD WORLD TO FIRST-THE SINGAPORE STORY 1965-2000-BY LEE KUAN YEW(BABA WA TAIFA LA SINGAPORE HUYU NDIYE NYERERE WAO)

9.POLITICAL DICTIONARY--BY TAEGAN GODDARDS

10.BIBLE na KORAN (HUMU KUNA MAARIFA KIBAO)
.............Itaendelea..................
Najua watanzania wengi ni wavivu wa kusoma wakisingizia vitabu bei mbaya sasa kwa JPM huna kisingizio ikulu ina bajeti ya majarida na vitabu.

Mzee mkapa alipokuwa akisafiri alikuwa hakosi kusoma kitabu njiani lakini JK mara zote akisafiri zile safari zake alikuwa na ipod akisikiliza bongo flavor...ni utamaduni mpya wa kutosoma vitabu

Kuna watu wanadai eti urais ni taasisi eti unawashauri sijui blabla,huo ni uongo ,Rais lazima ujue mambo mengi wewe ndio kioo cha watu.

Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya vitabu unavyotakiwa kuanza kuvisoma mwka huu,nitakupatia sehemu ya pili muda si mrefu

Mimi ni raia wa kawaida tu ila napenda kusoma vitabu na najua nguvu iliyopo kwenye vitabu

Na nafahamu umesoma masomo ya sayansi kuna uwezekano vitabu hivi ukawa hujavipitia au umevipitia

Lengo ni kuwekana sawa elimu haina mwisho sina nia nyingine zaidi ya kukukumbusha tu

1.THE GREEN BOOK-BY MUAMMAR GADDAFI
hapa utajifunza jinsi Libya ilivyojua kutumia resouces zake mpaka wazungu wakashangaa

2.THEWORD SINCE 1800-BY SNELLGROVE
hiki ni kitabu cha historia ya dunia tangu mwaka 1800 huenda hujakisoma kwa wewe mwanasayansi

3.HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA-WALTER RODNEY(MTUNZI NI MWANAHARAKATI RAIA WA GUYANA ALIWAHI KUFUNDISHA UDSM MIAKA YA 60's AU 70's

4.ATLAS FOR SECONDARY SCHOOL najua mama anayo hapo nyumbani kwani ye ni mwalimu,hii itasaidia kujua Libya iko wapi na Belinze au Trinidad na Tobago ziko wapi au Mauritania na Mauritius ni nchi mbili zilizo sehemu tofauti Africa

5.WORLD FACT BOOK -BY CIA

6.FREEDOM AND UNIT PAMOJA NA UONGOZI WET NA HATMA YA TANZANIA -BY JK NYERERE

7.SAVE THE CAT-BY BLAKE SNYDER(KINAHUSU SPEECH NA JINSI YA KUJIELEZA KIPROFESSIONAL)

8.FROM THIRD WORLD TO FIRST-THE SINGAPORE STORY 1965-2000-BY LEE KUAN YEW(BABA WA TAIFA LA SINGAPORE HUYU NDIYE NYERERE WAO)

9.POLITICAL DICTIONARY--BY TAEGAN GODDARDS

10.BIBLE na KORAN (HUMU KUNA MAARIFA KIBAO)
.............Itaendelea..................
Najua watanzania wengi ni wavivu wa kusoma wakisingizia vitabu bei mbaya sasa kwa JPM huna kisingizio ikulu ina bajeti ya majarida na vitabu.

Mzee mkapa alipokuwa akisafiri alikuwa hakosi kusoma kitabu njiani lakini JK mara zote akisafiri zile safari zake alikuwa na ipod akisikiliza bongo flavor...ni utamaduni mpya wa kutosoma vitabu

Kuna watu wanadai eti urais ni taasisi eti unawashauri sijui blabla,huo ni uongo ,Rais lazima ujue mambo mengi wewe ndio kioo cha watu.

Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya vitabu unavyotakiwa kuanza kuvisoma mwka huu,nitakupatia sehemu ya pili muda si mrefu

Mimi ni raia wa kawaida tu ila napenda kusoma vitabu na najua nguvu iliyopo kwenye vitabu

Na nafahamu umesoma masomo ya sayansi kuna uwezekano vitabu hivi ukawa hujavipitia au umevipitia

Lengo ni kuwekana sawa elimu haina mwisho sina nia nyingine zaidi ya kukukumbusha tu

1.THE GREEN BOOK-BY MUAMMAR GADDAFI
hapa utajifunza jinsi Libya ilivyojua kutumia resouces zake mpaka wazungu wakashangaa

2.THEWORD SINCE 1800-BY SNELLGROVE
hiki ni kitabu cha historia ya dunia tangu mwaka 1800 huenda hujakisoma kwa wewe mwanasayansi

3.HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA-WALTER RODNEY(MTUNZI NI MWANAHARAKATI RAIA WA GUYANA ALIWAHI KUFUNDISHA UDSM MIAKA YA 60's AU 70's

4.ATLAS FOR SECONDARY SCHOOL najua mama anayo hapo nyumbani kwani ye ni mwalimu,hii itasaidia kujua Libya iko wapi na Belinze au Trinidad na Tobago ziko wapi au Mauritania na Mauritius ni nchi mbili zilizo sehemu tofauti Africa

5.WORLD FACT BOOK -BY CIA

6.FREEDOM AND UNIT PAMOJA NA UONGOZI WET NA HATMA YA TANZANIA -BY JK NYERERE

7.SAVE THE CAT-BY BLAKE SNYDER(KINAHUSU SPEECH NA JINSI YA KUJIELEZA KIPROFESSIONAL)

8.FROM THIRD WORLD TO FIRST-THE SINGAPORE STORY 1965-2000-BY LEE KUAN YEW(BABA WA TAIFA LA SINGAPORE HUYU NDIYE NYERERE WAO)

9.POLITICAL DICTIONARY--BY TAEGAN GODDARDS

10.BIBLE na KORAN (HUMU KUNA MAARIFA KIBAO)
.............Itaendelea..................
Najua watanzania wengi ni wavivu wa kusoma wakisingizia vitabu bei mbaya sasa kwa JPM huna kisingizio ikulu ina bajeti ya majarida na vitabu.

Mzee mkapa alipokuwa akisafiri alikuwa hakosi kusoma kitabu njiani lakini JK mara zote akisafiri zile safari zake alikuwa na ipod akisikiliza bongo flavor...ni utamaduni mpya wa kutosoma vitabu

Kuna watu wanadai eti urais ni taasisi eti unawashauri sijui blabla,huo ni uongo ,Rais lazima ujue mambo mengi wewe ndio kioo cha watu.

Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya vitabu unavyotakiwa kuanza kuvisoma mwka huu,nitakupatia sehemu ya pili muda si mrefu

Mimi ni raia wa kawaida tu ila napenda kusoma vitabu na najua nguvu iliyopo kwenye vitabu

Na nafahamu umesoma masomo ya sayansi kuna uwezekano vitabu hivi ukawa hujavipitia au umevipitia

Lengo ni kuwekana sawa elimu haina mwisho sina nia nyingine zaidi ya kukukumbusha tu

1.THE GREEN BOOK-BY MUAMMAR GADDAFI
hapa utajifunza jinsi Libya ilivyojua kutumia resouces zake mpaka wazungu wakashangaa

2.THEWORD SINCE 1800-BY SNELLGROVE
hiki ni kitabu cha historia ya dunia tangu mwaka 1800 huenda hujakisoma kwa wewe mwanasayansi

3.HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA-WALTER RODNEY(MTUNZI NI MWANAHARAKATI RAIA WA GUYANA ALIWAHI KUFUNDISHA UDSM MIAKA YA 60's AU 70's

4.ATLAS FOR SECONDARY SCHOOL najua mama anayo hapo nyumbani kwani ye ni mwalimu,hii itasaidia kujua Libya iko wapi na Belinze au Trinidad na Tobago ziko wapi au Mauritania na Mauritius ni nchi mbili zilizo sehemu tofauti Africa

5.WORLD FACT BOOK -BY CIA

6.FREEDOM AND UNIT PAMOJA NA UONGOZI WET NA HATMA YA TANZANIA -BY JK NYERERE

7.SAVE THE CAT-BY BLAKE SNYDER(KINAHUSU SPEECH NA JINSI YA KUJIELEZA KIPROFESSIONAL)

8.FROM THIRD WORLD TO FIRST-THE SINGAPORE STORY 1965-2000-BY LEE KUAN YEW(BABA WA TAIFA LA SINGAPORE HUYU NDIYE NYERERE WAO)

9.POLITICAL DICTIONARY--BY TAEGAN GODDARDS

10.BIBLE na KORAN (HUMU KUNA MAARIFA KIBAO)
.............Itaendelea..................
Najua watanzania wengi ni wavivu wa kusoma wakisingizia vitabu bei mbaya sasa kwa JPM huna kisingizio ikulu ina bajeti ya majarida na vitabu.

Mzee mkapa alipokuwa akisafiri alikuwa hakosi kusoma kitabu njiani lakini JK mara zote akisafiri zile safari zake alikuwa na ipod akisikiliza bongo flavor...ni utamaduni mpya wa kutosoma vitabu

Kuna watu wanadai eti urais ni taasisi eti unawashauri sijui blabla,huo ni uongo ,Rais lazima ujue mambo mengi wewe ndio kioo cha watu.

Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya vitabu unavyotakiwa kuanza kuvisoma mwka huu,nitakupatia sehemu ya pili muda si mrefu

Mimi ni raia wa kawaida tu ila napenda kusoma vitabu na najua nguvu iliyopo kwenye vitabu

Na nafahamu umesoma masomo ya sayansi kuna uwezekano vitabu hivi ukawa hujavipitia au umevipitia

Lengo ni kuwekana sawa elimu haina mwisho sina nia nyingine zaidi ya kukukumbusha tu

1.THE GREEN BOOK-BY MUAMMAR GADDAFI
hapa utajifunza jinsi Libya ilivyojua kutumia resouces zake mpaka wazungu wakashangaa

2.THEWORD SINCE 1800-BY SNELLGROVE
hiki ni kitabu cha historia ya dunia tangu mwaka 1800 huenda hujakisoma kwa wewe mwanasayansi

3.HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA-WALTER RODNEY(MTUNZI NI MWANAHARAKATI RAIA WA GUYANA ALIWAHI KUFUNDISHA UDSM MIAKA YA 60's AU 70's

4.ATLAS FOR SECONDARY SCHOOL najua mama anayo hapo nyumbani kwani ye ni mwalimu,hii itasaidia kujua Libya iko wapi na Belinze au Trinidad na Tobago ziko wapi au Mauritania na Mauritius ni nchi mbili zilizo sehemu tofauti Africa

5.WORLD FACT BOOK -BY CIA

6.FREEDOM AND UNIT PAMOJA NA UONGOZI WET NA HATMA YA TANZANIA -BY JK NYERERE

7.SAVE THE CAT-BY BLAKE SNYDER(KINAHUSU SPEECH NA JINSI YA KUJIELEZA KIPROFESSIONAL)

8.FROM THIRD WORLD TO FIRST-THE SINGAPORE STORY 1965-2000-BY LEE KUAN YEW(BABA WA TAIFA LA SINGAPORE HUYU NDIYE NYERERE WAO)

9.POLITICAL DICTIONARY--BY TAEGAN GODDARDS

10.BIBLE na KORAN (HUMU KUNA MAARIFA KIBAO)
.............Itaendelea..................

Ushauri mzuri mkuu binafsi moja ya kitabu ambacho ningependa kumshauri Magufri pamoja na watunga sera wake wakipitie ni,
DEAD AID kimeandikwa na Dambisa Moyo.
hapo mwandishi anaelezea kwa kina ni kwa namna gani misaada haiwezi kuikuza nchi kiuchumi zaidi ya kuendelea tu kuzidumaza nchi nyingi za kiafrika.
 
Mimi pia ningemshauri Raisi wangu awe anaangalia muvi, haswa za kipelelezi (zaidi za holiwood)

Pamoja na kumkubali sana raisi wangu ila napata sana shida pale anaposema "anajua kila kitu"

Muvi nyingi za kipelelezi zinavyoisha ni kinyume kabisa na ulichokuwa unawaza kwa muda wote unaofuatilia muvi hiyo...uliyedhani ni shujaa kumbe ndio muhalifu na uliyedhani ni muhalifu ndio anaibuka shujaa.

Kuna muvi nyingine mtuhumiwa anaamua kukwepa vyombo vya dola na kutatua tatizo kwa ujuzi wake binafsi na mwisho dola hiyo hiyo inautambua ukweli kupitia kwake...tofauti na kama wangefanikiwa kumtia nguvuni mapema.

Sikatai Raisi wangu kuwa na taarifa juu ya jambo fulani, lakini ni vema ajue kuwa kama anadhani Mtuhumiwa ni mjanja sana na akipewa nafasi ya kusikilizwa ni kumpa nafasi/mbinu za kukwepa kosa..kwa nini isiwezekane pia kuwa vise versa?...yaani anayekupa taarifa naye ni mjanja mno wa kuelezea.
 
, i don't like way we give excuses for our failures to Europeans because its wrong

it's time we wake up
by the time you think about waking up you should also think that Europeans never sleep
 
Back
Top Bottom