Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Wewe ndio mpuuzi uliyelewa Lubisi ndio unapaswa kudharauliwa kwa kupuuza mambo ya msingi unayoambiwa!!Mhh...viroba + chipsi snacks =
Wewe ndio mpuuzi uliyelewa Lubisi ndio unapaswa kudharauliwa kwa kupuuza mambo ya msingi unayoambiwa!!Mhh...viroba + chipsi snacks =
Mbona tamshi la lema limempanikisha wakati ni zawadi kutoka kwa mungu?bila majungu wala nini magufuli namuelewa sana... japo hela imekuwa ngumu...
ma bank yametulingia sana kisa kufanya biashara na serikali... ***** zao watanyooooka magufuli akibaki na msimamo wake...
hii nchi tumeleana sana.. nchi ina miaka 50 hatujawai pigana vita maeneo ya wazi kila sehemu.. ila hakuna mtanzania aliefika hata wigan.. na maeneo ya wazi yamejaa nchi nzima ya kuchezea mpira kwa vijana na watoto huku wenzetu kina adebayor wanazaliwa togo vitaniii kila siku ila wanacheza mitaani kwao kibishi na wanakaza hadi real madrid wanafika..
mjomba magufuli kaza baba kaza bababa....
wengi tupo nyuma yako.... wanaokupinga ni wezi na madalali tu...
nchi imejaa wavivu tu... na waongeaji sana ndio maana waarabu kina home shopping wanatupiga hadi wanatajirika hapa hapa huku wazawa tumelala tu.
asante sana kikwete, mkapa na ccm kwa ujumla kwa kutuletea magufuliiii
leo nmb, crdb na benk kibao wanakuja hadi mitaani kutushawishi tupeleke deposit na tukakope wakati enz zile wameringa sana
Hahaaaa mungu wa maguMungu yupi? Maana kuna miungu wengi.