Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

SIjasema awe perfect... nimezungumzia mkuu kuweka jitihada binafsi za kuboresha sehemu zinazohitaji improvement... JK alikua mwanasiasa tu

I strongly believe kwamba dhamira ya JPM ni nzuri na akikazi asehemu ambazo bado hana depth, ataweza kuwa the best president in Africa history....

take it or leave it!
Wachache wataelewa ila tuvute subra mambo yatakuwa Kama unavyobashiri
 
Back
Top Bottom