Magufuli kaja na nyota ya umasikini, biashara haziendi

Walio zoea kuishi kwa wizi ndo watakomaa lakini tulio kuwa tukitafuta kwa jasho letu kiharali tupo tu tunaendelea kuishi.
 
Ni wakati wa kufanya biashara halali inayomridhisha Mungu. Ibilis hamna nafasi sasa.
 
Magufuli na maprofesa na madokta na mainjia wake wameanza vibaya. Ameanza kunywea vibaya. Na bado aliowatimua bila kujitetea watamgharimu vibaya
ina maana wameenda kwa Sangoma?au watamgharimu kwa style ipi?
 
bado sana mwaka wake ni 2016 huko nyuma ilikuwa ni kutumbua majipu , kazi inaanza Jan 5, bomoa bomoa, tarehe 10 jan mabsi mwendo kinyonga yanaanza, tarehe 15 walimu wote wanapokea fedha za elimu bure aliyoikusanya mwenyewe, tarehe 1 feb, kila mbuzi anakura kwa urefu wa kamba yake, hakuna rushwa, hakuna wizi wa makontainer, wizi ndio utakoma kabisa maana hata kamanda wa matukio na show za Mativ zinaisha hapa ukiiba ni kufungwa tu, na unaonyeshwa live umeshika kibao kuwa wewe ni mwizi.
Kaziba tundu moja lakini bado kuna matundu kibao ya kuiba hata hiyo pesa ya Elimu bure itapigwa na wajanja, Tatizo la Nchi ni Mfumo
 
Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.
Ibilisi mchawi wa biashara yako ni wewe mwenywe kila mada au thread ikirushwaga huku wewe ndio wa kwanza kuchangia sasa huo muda wa biashara unaupataga wapi? Hata kama una msimamizi ina maana hata marketing hufanyi? duu mimi hapa sikuungi mkono kabisa
 
Kwa theory za uchumi rahis kabisa kwa mtu wa kawaida kuelewa ni kwamba watu wakishaanza kuwa na mashaka kuhusu kesho na kupoteza confidence iwe ni kazi, uzalishaji nk, uchumi unaweza usishuke kwa haraka lkin ukasimama. Sasa ww saiv kila kiongozi anaesimama anatishia watu, wakat serikali dunian huwa zinajitahid kuionesha public kuwa hakuna tatizo hata kama lipo, sis ni vitisho, as a result watu wataanza kuficha hela na mbaya zaid inaweza isiwe benk ikawa nyumbani.

Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.
 
Acha kupanick mkuu
Tumeenda kula sikukuu zote na mwaka mpya. Angalia biashara yako kuanzia 16/01. Vinginevyo uza vifaa vya shule. Vitatoka shule zinafunguliwa
 
Nchi hii itanyooka tu, watu walikuwa kana kwamba wana viwanda vya kuchapisha noti wakati hawalipi kodi. Subiri sasa bidhaa zinalipiwa kodi uone zitauzwa kiasi gani. Angalau sasa kutakuwa na heshima, utambe na pesa ambazo ni halali na umelipa kodi kihalali mambo ya mishen mishen hakuna tena. Na wale wageni ambao walikuwa wanaziba nafasi za wazawa watakiona cha mtema kuni. Tanzania sio shamba la bibi sasa. Utaheshimika kwa kulipa kodi na kufanya kazi kihalali.

Kama ulikuwa kwenye akili yangu. Maoni safi kabisa haya, sema baadhi ya watu hawapendi kuusikia ukweli.
Napenda Tanzania iwe na matajiri wengi sana ila utajiri wao uwe wa uhalali na kikubwa zaidi KODI ZILIPWE, janja janja ifike mwisho wake.
 
Lazima mnyooke. KASI ya maambukizi ya Ukimwi huenda ikapungua maana ukitoka kazini hata pesa ya Castle moja huna utaweza kuwa na kucha za kushusha chupi ya Baamedi?
 
Sasa kama watu hawana pesa mifukoni bar zote zitafungwa sasa maana hatuwez kunywa bia kama zamani
 
Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.
Ni.kweli mkuu si amebana matumizi ya watu hasa wale wa majipu lazima madhara tuyaone katika kuelekea kuimarisha misingi ya kweli kwa.wote
 
Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.
Kama ulizoea biashara za wizi utanyooka tu.

Kwa taarifa yako sisi tunapeta tu na mwezi December yameingia magari zaidi ya elfu 2 watanzania wamenunua ya kutembelea
 
hela inakuwa nyingi mifukoni kutoka kwa wakwapuaji. hahutumia mwa wingi bila kujali na kufa hela iwe nyingi kwenye mzunguko huku uzalishaji ni mdogo. sasa Magufuli ameziba matobo. kila atu azalishe kihalali apate pesa kihalali.
aanze kulipa wanaoidai serikali, watumishi, wazabuni, wakandarasi hela lazima ionekane
 
Back
Top Bottom