Magufuli hili la NIDA nalo sio jipu?

Tangazo lake limechelewa sana, kesi iko CMA na alishaitwa kwamba tar 14 afike CMA so anatapa tapa tu.
 
Awalipe watoto hawa wa wakulima pesa zao asubiri jipu lake lishaiva
 
Kwani hwa vijana si tulisikia walisitishiwa mikataba,, means walikuwa wafanyakazi na walikuwa wanalipwa mishahara na makato yao yalikuwa yanakatwa,, sasa nyaraka namba tatu INA ulakini, ,, ni vyema huyu DG apitie mafail ya hawa vijana maana atapata uthibitisho hko,, alafu hizi pesa za media kila kukicha nida nida,, anazipata wapi?? Au ndo hizo bill 34 allizopiga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…