Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,172
In LOVE With my Signature.Hata akikatwa milioni kumi bado mshahara wake hautakuwa umeshtuka maana kila kitu bure na kodi hakatwi.Nilifikiri angesema kuanzia sasa Mishahara yote ya Mawaziri,wa kwake ,wa Makamu na wabunge lazima ikatwe kodi.Atleast 30% ya mshahara ingeingia kwenye Maendeleo.Lakini milioni sita,kwa mshahara na marupurupu yake bado ni kama tone la maji kwenye Bahari hindi