Magufuli hajawaona wataalamu wa IT kutoka CIVE-UDOM?

NDUGU....
Tatizo sio usomi na wasomi...
Tatizo upigaji, hatuna uadilifu wala uzalendo
Mwanao akishindwa kuuza duka, BORA UAJIRI MTUMISHI...
It's just as simple...
Mbona wapigaji na wachonga deal wakubwa ni mawaziri? kama ni simple kama usemavyo si tuajiri mawaziri toka ulaya na kwingineko?
 
IT haipo kiivyo sana kwamba ukimaliza tu chuo basi unaweza fanya vitu vya ajabu hadi kuitwa mtaalamu.

Inaweza kuchukua miaka zaidi ya 10 kujiweza katika Coding japo wakati unamaliza chuo unajiona unaweza fanya vitu vingi.

IT inachangamoto nyingi kiasi kwamba uzembe kidogo tu,unaleta hasara kubwa kwa kampuni au nchi hasa masuala ya security.

Hivyo huwezi sema UDOM kuna watu wamemaliza na kuwaita wameiva kisawasawa kukabili changamoto za IT.Najua unazungumzia vikazi vidogo vidogo vya kutengeneza application lakini mtu huyo huyo kutengeneza utilitues s/w inakuwa ni kazi sasa hapo atawezaje kufanya security ya kazi zake n.k

Na wewe usiandike kwa makusudi bila kujua. Huhitaji kufanya kazi miaka 10 kama unavyodai ndio uwe mtaalamu mzuri, hasa kwenye IT. Pili applications nyingi hazitengenezwi na mtu mmoja. Kwa mfano hii system inayoongelewa ina divisions nyingi, kila mtu au kikundi cha watu watafanya task fulani, mfano wengine kudevelop main source code, wengine API, etc.,. Huyo kijana anaweza kupewa task fulani kwa kuangalia requirements za system na kuifanya kwa ufanisi.
 
Huo ni ugunduzi kwani ninaposema unaelekeana simaanishi kuwa unafanana kwa kila kitu isipokuwa functions tu nimejiunga na 2daysky kiukweli amejitahidi sana mpaka sasa amepata ufadhili wa Bill Gate kufuatia ugunduzi wake. Naitumia hii kama mfano tu kuonesha watanzania tunaweza
Hawezi kukuelewa huyo,yeye kazi yake ni ccm hoyeeee maaana yeye kila kitu ni kushangilia tu atakuwa na pepo la mwendo kasi maana hata cha maana yeye anadharau anaona bora vijana wetu wafe njaa ila vijana wa kagame waje hapa pengine kwa lugha rahisi hiyo itakuwa shibe.
 
Back
Top Bottom