Magufuli apitishwa na Halmashauri Kuu kugombea uenyekiti

Kwahiyo anakiri kuwa Chama kilikuwa kife ila kikanusurika!Nini kilisababisha hilo?
 
Ukuta wenye ufa hauanguki kwa siku moja. Roma haikujengwa kwa siku moja, lakini ilianguka kwa siku moja.
 
Siku nyingi toka uingie madarakani Mhe. Rais umekuwa ukituhubiria hutaki watu katika Nchi yako kuvaa kofia mbili mbili za madaraka, sasa nadhani kesho ndiyo siku pekee na wewe kututhibitishia hilo, uwe mfano kwetu kwa kukataa Uenyekiti wa chama

Je hilo utaliweza...? Tunasubiri kujifunza kutoka kwako
 
Mmhhh ngumu kumeza
 
Hahahahaha ni pale unaposigana na kauli za mdomo wako na kuundangaya moyo wako huku ukiwa unajua wazi kuwa ccm ni Ile Ile Hakuna cha kubadilika.
 
Sasa hua wanagombea nini wakati ndio anatakiwa awe mwenyekiti ,ccm kwa usanii mnaongoza
 
Mgonbea mwenza wa Magufuli ni nani?au mmewwka kivuli kama enzi za mfumo wa chama kimoja?maana sasa hivi tuko kwenye mfumo wa vyama vingi...
 
CCM na CHADEMA kwa hili hamna tofauti yeyote, hamfuati katiba ya vyama vyenu kumpata mwenyekiti, hapa sote tukubali Magufuli kuwa mwenyekiti na Mbowe kuendelea maisha yake yote.
 
Ki ukweli, tuwe wa kweli, CCM hawawezi fananishwa na chama kingine cha siasa. hata hivyo Ukomavu wao kubadilishana uongozi yawezekana ni kwa sababu ya umri wake. Lakini vyama vya upinzani navyo ili viweze hubiri demokrasia wanayo idai hadi mahakamani ionekani kuanzia ndani ya chama kwanza. Kuna vyma vya upinzani unakuta kina mwenyeki mmoja miaka nenda uje, hadi inakuwa ni chama cha familia. unakuta wana mgombea mmoja wa urais tangu 1995 hadi leo, what does that mean, hakuna watu kwenye chama? I have passion kuona upinzani mzuri lakini unaodemonstrate ukomavu wa kidemokrasia kuanzia ndani kabla hawajadai katiba ya inchi kupitia mahakama iwape demokrasia
 
CCM na CHADEMA kwa hili hamna tofauti yeyote, hamfuati katiba ya vyama vyenu kumpata mwenyekiti, hapa sote tukubali Magufuli kuwa mwenyekiti na Mbowe kuendelea maisha yake yote.
Walau CDM ulitangazwa utaratibu watu wakachukue form wagombee,alichukua mmoja baadaye akajitoa!Ccm wangefanya hata maigizo ya kutangaza kutoa form halafu wakawaminya wengine kama walivyomkata Lowassa!
 
CCM na CHADEMA kwa hili hamna tofauti yeyote, hamfuati katiba ya vyama vyenu kumpata mwenyekiti, hapa sote tukubali Magufuli kuwa mwenyekiti na Mbowe kuendelea maisha yake yote.
Ebu hamia ccm kwa siku mbili uone kama utagombea urais kama ilivyofanya Saccos ya Mtei
 
Back
Top Bottom