Magufuli angekuwepo, awamu mpya ya SGR ingekua Dodoma - Arusha na Moshi

Admin3

New Member
Sep 4, 2019
4
0
Naanza kwa kuipongeza Serikali kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi inayo endelea, hakuna shaka yeyote kwasasa watanzania wamesha anza kuonja matunda ya reli hiyo wakitokea Dar - Dom na Dom - Dar, ikijumuisha maeneo yote yaliyo kati ya Dom Dar nao wananufaika

Kwa namna inavyoonekana Magufuli angekuwepo uwezekano wa Kuunganisha SGR na Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ambayo ni vitovu vya utalii isingekwepeka. Hivyo tungepata Root ya Treni SGR Dar Moro Dom Arusha Moshi, whats a beutiful tour. Root hiyo ingeweza kujenga ushawishi wakuunganisha na majirani zetu Kenya endapo wangeona kama kuna faida.

Root hiyo ya Arusha Dar ingesaidia sana mikoa ya Manyara na Arusha kuboost shughuli zao za kiuchumi
Pia bila kusahau kungepatikana root ya Moshi/Arusha Dom to Mwanza au Kigoma

Sina uhakika kama magu angekubali hii circuit ikosekane. Serikali inapaswa kutizama na kuona kama kuna umuhimu wa hilo, pia wanaweza kutitama kama kunauwezekano wa SGR Kwenda Mtwara kisha kusubiri link ya Msumbiji. Imagineunatoka Mwanza, au Arusha Mpaka Mtwara/Msumbiji. Magu ( Mungu ampumzishe Mahala Pema Amen)

Natumaimi andiko hili litafika mezani pa wenye mamlaka ili nao waone kama lina umuhimu
Mama Samia Piga kazi mama

Waasalaam
 
Sio ruvu korogwe Arusha?
 
Siku moja tunavuka hapa jangwani tunapiga zetu mbizi

Kila mtu anatukana angekuwepo Magufuri angekuwa ashatujengea daraja hapa siyo huyu mwanamke anazurula tu
 
Hata waliomua Magufuli akina Mboe sasa hivi wanajuta na kujiona wajinga sana.

Miradi hakuna na viroba vinaendelea
 
Back
Top Bottom