Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,968
- 10,338
Magufuli amesema kuna wapinzani wanapinga tu na wanapopinga wana information zao nyingi ila anawahifadhi tu
Amesema wapo wnaotafuta data wanahangaika weee na kutuma mesejikwa wale anaowatuta data na kusema eti atashatakiwa, mtu akiwa mwanasheria ataogopa kushtakiwa? kisha akacheka kwa dharau na kusema subiri siku atakayopokea ripoti ya pili
Tundu Lissu alisema Magufuli atashtakiwa juu ya sakata la mchanga
Hii nchi wote wapigaji.
JPM anawatoa wapigaji wa JK na kuanika maovu ya watangulizi wake tu ila nae kwa nafasi yake anapiga halafu anasepa, atakayekuja nae ataanika maovu ya JPM halafu atapiga kwa nafasi yake nae atasepa.
Watz ni rahisi sana kutuongoza, tunaletewa matukio mapya kila siku na likija tukio jipya tunasahau la jana.