Magufuli akiharibu leo hii, 2020/2025 CCM watamsimamisha nani tena kuokoa jahazi?

Hivi....
Hao ukawa unao washauri wazichange karata ni ukawa ipi hiyo ....!! Mkuu, mbona ukawa ilisha kufa kitambo na hapa tunasubiria kutangazwa siku ya mazishi ya hao ukawa.
Pamoja na mimi mwenyewe kua ni mwana ukawa ambae sikupenda kujionyesha wazi ili nisije tofautiana na babe kipindi kileee....
 
Ni ukweli ulio wazi Magufuli ndio aliibeba CCM katika uchaguzi mkuu uliopita kiasi kwamba inadaiwa angesimamishwa mtu mwingine tofauti na Magufuli, basi hali ingekuwa mbaya sana kwa mgombe wa CCM.

Sasa leo hii Magufuli akiharibu,2020 na zaidi 2025,nani ataiko tena CCM?Jina gani la mwana-CCM linaloweza kuuzika mwaka 2020/2025?

UKAWA changeni vizuri karata zetu wakati jamaa wanaendelea-hawakuanza leo- kupoteza dira.Wa kupiga jaramba waanze sasa majipu pekee hayalipi.
2015 ccm haikubebwa na magufuri , ilibebwa na lubuva , ilishaangukia pua .
 
Umemsikia kauli ya mama Samia Suluhu kuhusu wapinzani?
 
2015 ccm haikubebwa na magufuri , ilibebwa na lubuva , ilishaangukia pua .
Mkuu.....
Kwa Hakika watanzania walikua tayari wameichoka sisiemu na walikua wakienda kwenye kampeni kumsikiliza Pombe na sio sisiemu.
Sisiemu tayari ilikua imekosa na kupoteza mvuto, na pia tayari wananchi walikua wamepoteza imani na kuonekana kukata tamaa kutokana na ubovu pamoja na uozo wa sisiemu.
Na kwa taarifa yako, sisiemu ipo yogoyogo hoii...... imesha pasuka vibaya na tayari sisiemu inaugulia maumivu ya majeraha yanayo zidi kusa abishwa na Pombe.
Sina hakika kama kufikia 2020 sisiemu itawezakua chama imara na chenye nguvu, kilicho jinadi barani Africa
 
Hivi....
Hao ukawa unao washauri wazichange karata ni ukawa ipi hiyo ....!! Mkuu, mbona ukawa ilisha kufa kitambo na hapa tunasubiria kutangazwa siku ya mazishi ya hao ukawa.
Pamoja na mimi mwenyewe kua ni mwana ukawa ambae sikupenda kujionyesha wazi ili nisije tofautiana na babe kipindi kileee....
Labda maziko yako mkuu
 
Mkuu Salary Slip hebu punguza ndoto, aliyeharibu ni Lowassa 2007, historia haewezi kujirudia,

Naona kila siku unapakua ndoto mpya dhidi ya Magu, mfano na wewe Mwenyezi mungu akikuchukua si hautajua kinachoendelea, sasa tulia maana hujui kinachoendelea.
 
Sukari Dodoma kilo shilingi 3500.
 
Jadili juu ya kuporomoka kwa CHADEMA kiasi kwamba mitaani watu wanashindwa kujitambulisha.

Mwaka 2020, huyu mwizi, Lowassa atasimama kujipima na Magu?

Maana kwa sasa hana pa kuanzia. Sijui kama CHADEMA wataloga tena watu kwa kusubiri mtu atoke CCM na sera zake tena.

Tufikiri hapo.
Uzuri wa ndoto za kwenye mkeka kijiweni lumumba zinawasaidia kupata cha kujifariji.
 
Ningekuwa mimi ndo wewe, ningejiuliza, chadema tutamsamisha nani maana mzee EL hakubaliki. Uko bize na ya sisiemu.
 
KADRI MNAVYOFIKIRI JPM ATAHARIBIKIWA NDVYO NYIE MNAZIDI KUHARIBIKIWA. HUKU MTAANI GRAPH YA JPM INAPANDA KWA KASI. 2020 WALA HAHITAJI KAMPENI!!!

KUNA WATU UCHAGUZI UJAO WATASTAAFU BILA KUPENDA MAANA HALI ITAKUWA TETE!!!! WANANCHI WAKO BUZY KUWEKA RECORD VIZURI HASA HIZO CLIPS ZA MANENO YAO YA KUTETEA MAFISADI.

Queen Esther
Kwa juhudi hizi, DC mmoja akiosea tu kuhesabu sukari iliyofichwa, nafasi hiyo utapewa wewe, eh mama.
 
Acha ipande hiyo ni crisis kama ile iliyiukumba Dunia ni ya muda mfupi itaisha haiwezi dumu milele, ishu ni kuwa zama za wafanyabiashara kuikontroo serikali inaanza kushughulikiwa sasa usilete ushabiki wa bendera fuata upepo kujifanya hujui Magu anapambana na vita ya aina gani na watu wapi?
 
Ni ukweli ulio wazi Magufuli ndio aliibeba CCM katika uchaguzi mkuu uliopita kiasi kwamba inadaiwa angesimamishwa mtu mwingine tofauti na Magufuli, basi hali ingekuwa mbaya sana kwa mgombe wa CCM.

Sasa leo hii Magufuli akiharibu,2020 na zaidi 2025,nani ataiko tena CCM?Jina gani la mwana-CCM linaloweza kuuzika mwaka 2020/2025?

UKAWA changeni vizuri karata zetu wakati jamaa wanaendelea-hawakuanza leo- kupoteza dira.Wa kupiga jaramba waanze sasa majipu pekee hayalipi.
 
Attachments

  • FB_IMG_1462708302297.jpg
    FB_IMG_1462708302297.jpg
    27.5 KB · Views: 20
Back
Top Bottom