Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,764
Mi Nina group huko wasap kuna watu wanataka kuoa tena hatukuwa close kiivyo wala nini na tulipoteana miaka kibao tena kuna wwngine wanadharau balaa .Hahahaa, dah dhana unayotaka kusema imenifurahisha mkuu..... hivi Bado kuna watu wanachangia harusi watu ambao hawako close "Kiivyo"..yani just because you know me ndo nichangie? wengine hata kupigiana simu hamjawahi, for the first time nina kadi yako ya mchango..waafrika sisi???? Harusi mil 30.,,,, income Laki 650......
Halafu wanataka mchamgo Leo wanakutajia fixed amount kabisa eti single na double khaa


Halafu wanavyoomba mchango na kuleta shombo flani za kuponda
