Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Mimi sijawahi kuwa masikini na sitarajii .Ut
Na utabaki masikini milele yote
Ila pia sikubaliani na utajiri Wa kukwepa kodi na kufisadi wengine kama chadema wanavyofanya
Mimi sijawahi kuwa masikini na sitarajii .Ut
Na utabaki masikini milele yote
Unamjua mulongo alivyo mwizi? Muulize mama sipola aliyekuwa mkurugenzi wa jiji arusha na jinsi alivokataa kumpa mulongo ulaji akamchongea mama wa watu kurudi tamisemi bila kazi. Mulongo ni kidampa wa familia ya JK hajui kazi na ni mwivi.Mimi sijawahi kuwa masikini na sitarajii .
Ila pia sikubaliani na utajiri Wa kukwepa kodi na kufisadi wengine kama chadema wanavyofanya
Kiongozi wa hovyo ambae hajapata kutokea Tanzania, alisababisha usumbufu mkubwa sana Arusha kwa kulazimisha meya ambae hakukidhi akidi mpaka yakatokea maandamano na mauaji, huyu jamaa ni limbukeni wa ku...m sana aliwahi kumkodishia hawara nyumba ya garama ya juu amabayo hata yeye na familia yake hawajwahi kuishi akampa na bastola ya kujilinda, ni mla rushwa alie kubuhu aliwahi kuchukua rushwa ya milioni 200 kwa mkandarasi wa ujenzi wa barabara kwa kumtishia kumnyag'anya contract kwa kuchelewesha ujenzi, akikutana na mtu makini anaejua wajibu wako huishia kuchekacheka na kujilamba midomo, Lema ndie kiboko yake, jamaa anafanya kazi bila dira anafanya kazi amfurahishe aliempa kazi. Ni BWEGE TU.
Kwa wale mnaomfaham naomba tumuongelee tabia zake coz nasikia ndiye aliyeanzisha ugomv na RAS ila akapeleka umbea Ikulu na jamaa akafukuzwa
Kwa wale mnaomfaham naomba tumuongelee tabia zake coz nasikia ndiye aliyeanzisha ugomv na RAS ila akapeleka umbea Ikulu na jamaa akafukuzwa
jama namkubali tangu akiwa arusha,pia kuna yule mkuu wa mkoa wa arusha sasa hivi anaitwa juma iddi huwa hawana masihara,juma iddi aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya same,isee aliwanyoosha kweli pale same kabla ya kutimkaKwa wale mnaomfaham naomba tumuongelee tabia zake coz nasikia ndiye aliyeanzisha ugomv na RAS ila akapeleka umbea Ikulu na jamaa akafukuzwa
Mimi binafsi sina habari za RAS na Magesa Mulongo kwa hiyo siwezi kujibu hoja yako. Ila huyu mkuu wa mkoa wa Mwanza ambaye alihamishwa toka Arusha ni mtu mwenye kujisikia na kuona yeye ni yeye tu dunia hii.
jama namkubali tangu akiwa arusha,pia kuna yule mkuu wa mkoa wa arusha sasa hivi anaitwa juma iddi huwa hawana masihara,juma iddi aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya same,isee aliwanyoosha kweli pale same kabla ya kutimka
Kwa wale mnaomfaham naomba tumuongelee tabia zake coz nasikia ndiye aliyeanzisha ugomv na RAS ila akapeleka umbea Ikulu na jamaa akafukuzwa
Atapona, kwani si nasikia anatoka ukelewe - kanda ya nyama, kanda ya wakimbizaNi kweli ana majivuno sana lkn tusubiri uteuzi mpya hivi karibuni kama atapona.