Magereza ya Norway

norwegian-prison-inmates-3.jpg
Huku yakijengwa ya hivo daaa vijana Mtaani wangeisha kabisa
 
Unaambiwa huko kila raia anamiliki takribani dola 170,000+ wakati bongo kila raia anadaiwa sijui laki ngapi, ngoja nizamie wanikamate wanipeleke huko..teh
 
Bora ufungwe huko kuliko uwe huru bongo.maisha y huku tunaishi km mazimwi
 
Siku moja nilikuwa huku kwetu Sinza Magengeni nilikuwa nyuma ya vijana nikawasikia wakihadithiana, 'afadhali ufungwe Pakistani bwana, jela wanakupa chapati, lakini Kenya utachezea ugali maharage'. Mwingine akaendelea 'jela za bongo hata pa kulala huna'.
 
Back
Top Bottom