Kama uchumi kuwa bora ingeleta furaha, China ingekuwa nchi ya kwanza kuwa na furaha. Watu wananyanyaswa, wananyang'anywa ardhi, kuzaa uzae mtoto mmoja tu mpaka wanatoa mimba za wasichana sasa watabaki kuoana wanaume kwa wanaume tu, Cuba wana wasomi kibao wengi wametorokea US na nchi nyingine za amerika sababu ya manyanyaso. Je, Central Afrika wana raha gani na mafuta yao? Nipe umaskini lakini nipe uhuru na haki ya kufanya nitakacho. Tulipokuwa tunauza kahawa yetu kwenye BCU tulikuwa na nini? Wazazi wetu wametusomesha sababu walikuwa wanachama na walikuwa wanalipa ada ya uanachama. Malipo ya nyuma yalikuja kila mwaka. Sasa vipi? Uhuru sasa.Upuuzi , heri umasikini katika uhuru! Mambo ya bandarini is nonsense , hatutaki bandari, hatuna shida ya badari na mchanga, magari, mitumba etc, acha tufe na umasikini, tunataka uhuru na haki, usawa kwa wote!