mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 19,596
- 62,423
NAKAZIA....NIVEA Q10.
atumie lotion tu, inapenya fasta kwenye ngozi mafuta ya mgando unakua kama kitumbuaš
NAKAZIA....NIVEA Q10.
Mwenyewe napakaa hayohayo for years.. ni mazuri sanašNisha tumia mwaka wa 15 huu, cha kushangaza ngozi yangu ipo vizuri kuliko wife mwenye mabegi mawili ya mafuta.
Ujuaji sio mzuri chief..punguza kidogosecret of Lady iwe ya Kiume?
Watanzania Nyie ...
secret of Lady iwe ya Kiume?
Watanzania Nyie ...
Ila wewe... eti unakua kama kitumbuaššNAKAZIA....
atumie lotion tu, inapenya fasta kwenye ngozi mafuta ya mgando unakua kama kitumbuaš
Go for it sir, hutojutianitayajaribu
Hahahaha!.NAKAZIA....
atumie lotion tu, inapenya fasta kwenye ngozi mafuta ya mgando unakua kama kitumbuaš
Walisemaga mtanzania ukimwongelesha kingereza kidogo tu anaweza Kulazwa ICU...Ujuaji sio mzuri chief..punguza kidogo
Lets start by translating these words "secret of lady"
lengo la kujipaka mafuta ni nini Kijana?Sunflower si ya kula kaka?
Yes napaka hizo haswa nikimaliza kupika mlenda ile shombo ya mafuta ndio natia mwilini.Sunflower si ya kula kaka?
Haya yana harufu nzuri sanaPaka tu vaseline for men mkuu
Tumia "buttah" na kichwani kwenye nywele tumia "black america,hii hamna haja ya hizo dawa za kuweka nywele iwe nyeusi" utakuwa na muonekano maridadi kabisaSunflower si ya kula kaka?
Msanii kama Besti nasso?Mimi ni msanii na model hivyo kazi zangu zinahitaji sana muonekano maridadi.
Sio harufu tu., yenyewe ni mazuriHaya yana harufu nzuri sana