Mafuta mazuri ya kujipaka kwa mwanaume

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
4,173
7,467
Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23.

Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili?

Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza kuyapata? Ikipendeza drop na picture yake.
 
Mkishapata mafuta mazuri msisahau hii kitu... Ni buku 7 tu
IMG_20231104_155918_511.jpg
 
Shkamooni wakuu over 24+
Inakuwaje wakuu under <23.
Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili?

Name & Price (low budget) na ni wapi naweza kuyapata? ikipendeza drop na picture yake.
Nadhani mafuta au lotion mara nyingi huendana na aina ya ngozi ya mtumiaji na pia hali ya hewa ya sehemu husika. Kuna watu wenye ngozi yenye mafuta mengi, hivyo hawatakiwa kujipaka mafuta mengi, kuna sehemu zenye baridi kali inayoharibu ngozi hivyo inahitaji mafuta mazito yenye kuweza kuweka layer ili ngozi isiathirike eg vaseline.
 
Shkamooni wakuu over 24+
Inakuwaje wakuu under <23.
Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili?

Name & Price (low budget) na ni wapi naweza kuyapata? ikipendeza drop na picture yake.
Kila mtu ana aina ya mafuta yatakayompendeza kutokana na aina ya ngozi yake (kavu na ya nafuta) pamoja na mazingira. Lakini pia, allergic reaction ina mchango wake.

Hivyo, mafuta fulani yanaweza kumkubali fulani ila wewe yakakukataa.

Low budget kwako ni bei gani?
Kama ni mtumiaji wa mafuta ya mgando, go for Vaseline.

Kama ni Mtumiaji wa Lotion, go for NIVEA Q10.
 
Back
Top Bottom