Bei mpya ya Petro na DieselSamahani kama nimekosea kuuliza.Ahsante
Sababu shilingi imeshuka zidi ya dola patam!! Apo
Bei mpya ya Petro na Diesel
Mzalendo wakati mwimgine hakuna haja ya kuanzisha post km hujui kuandika Kicha cha habari umenitoa mbali kufika nakuta maswali tena
Hizo ni dola au..?Petrol sh 20
Diesel sh 80
Taa sh 80
Kama unaendaga petrol station kununua mafuta utaelewa....Hizo ni dola au..?
Unapoweka info weka kamili other wise mtu akikosea aseme...Kama unaendaga petrol station kununua mafuta utaelewa....
Bavicha mtaendelea kuitwa nyumbu kwakuwa jina hilo lina wafaa..
Huwa mnajitapa humu kujifanya wafatiliaji wa mambo kumbe bure kabisa maana hadi leo hamjui kuwa kodi kwenye petrol na mafuta haikuongezwa na wala hakukuwekwa VAT!
Habari inasema wazi kuwa ni kupanda bei duniani ndio kumepelekea kupanda kwa bei nyie mnakimbilia ooh kodi ooh VAT..
Kicha = kichwaBei mpya ya Petro na Diesel
Mzalendo wakati mwimgine hakuna haja ya kuanzisha post km hujui kuandika Kicha cha habari umenitoa mbali kufika nakuta maswali tena
Hebu leta hapa ushahidi wa kuonesha kodi kupandishwa kwenye mafuta na petrol yani mnataka kupotosha halafu muachwe....hahahahaUnaishia kusikia matamko tu kutoka kwenye chombo cha serikali chakavu, uvivu wa kuchimbua zaidi habari unafanya na akili yako kudumaa.
WEWE ni nyumbu.
Hivi mnataka mpotoshe halafu muachwe?leta ushahidi wa kupandishwa kodi kwenye mafuta na petrol! Nyumba hebu acheni uongo.Kisu kimegonga mfupa kila anaepinga basi chadema badilika we tunazungumzia serikali sio chama chenu mara ngapi yanatokea ulaya lakini uku chenga acha kukariri maisha bajeti imefanyeje unajua maana ya bajeti au ndo unasikiliza wanachosema na we unasema jifunze kusema mwenyewe ubongo ukuwe we miaka 50 unasifia ccm na wamaaribu mangapi badilika sio kila unachokipenda au mtazamo wako basi ndo uwe kila mtu ivo
Sasa wewe unabishana na EWURA? Sasa mnataka mpotoshe muache? Ni lini serikali imepandisha kodi kwenye mafuta na petrol?Acha kuongea maneno bila uthibutisho nenda ukagoogle kama mafuta yamepanda bei. Juzi hapa Rais wa Angola katangaza nchi yake kufilisika kwasababu ya bei ya mafuta kushuka. Tafuteni sababu nyingine.