Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

Amen... Na mimi naungana naye kusema gari hilo halitaondoka in the mighty name of Jesus Christ of Nazareth, mafuriko yatapita gari litabaki na litatoka salama ...Amen
Na lilibaki hapo hapo...mpk maji yakaisha yoteee
 
Jesus sio wa mchezo alishayafanyiaga maji kitu mbaaya saana...alitembea juu ya hayo maji...yanamjua jizaz, yanamtii hayo maji...yes, he walked on water...!

Na mwingine sijui nani kwenye bible yeye alishayapasuaga kati kati afu wananzengo wakapita kuelekea upande wa pili wakiwa katikati ya safari mule ndani ya maji wananzengo wakawa wanaokota okota visamaki wakapike wavile wakifika upande wa pili. Ukiwa na mungu raha!

Ni raha sana kuwa na imani positive.
Angekua ananguvu siangejikwamua pale msalabani na matokeo yake akawa analialia tu
 
67a02ae5289e891d748bce21c8e88303.jpg


Maji yalisepa aisee.
 
Gari lilisombwa na huyo mwenyewe pia alijaribu kwenda ili alivute akasombwa na maji huku yesu akiangalia tu
kwaninia unajaribu kumsaidia shetani wakati hujui lolote, je unataka kuwaamisha watu kuwa MUNGU hawezi kuwasaidia wamwamio?. nakushukuru MUNGU kwa kuwa wewe ni mwema na tena unanguvu na tena unafanya zaidi ya tuombayo. Gari ilitoka salama wala hakuna aliyeondoka na maji na tena iliwaka kwa kupigwa starter, japo ilivutwa kwa sababu ya matope. msaidie sana shetani ipo siku atakulipa.
 
Gari lilibaki halikwenda mahali
 

Attachments

  • IMG-20170508-WA0059.jpg
    IMG-20170508-WA0059.jpg
    204.9 KB · Views: 24
Dah Waafrica kwa Imani safi sana, Wazungu na Waarab wana akili sana
 
hili tukio linanikumbusha meli ya M.V Serengeti ilipopigwa na dhoruba...nahisi sala ndo kila kitu kwa waamini
 
Huyu jamaa analilia gari badala ya kushukuru kuoakoa roho yake!! Dunia haiishi vituko maana hapo sifa na shukrani zote angemrejeshea Allah kwa kumtoa mzima, lakini yeye hajarizika kutoka peke yake na kuiacha gari ikielea
heheheheheheheeeeeeeeeeee allah!!!!!!!!
 
yaani kitu sielewi ni kwamba hilo gari lingeenda ingekuwa ni kazi ya shetani, lakini sababu kaomba halijaenda ndo kazi ya Yesu...
wengine walisema wale watoto Arusha wamekufa ni kazi ya shetani..
nielewesheni tofauti ya kazi ya Yesu na ya shetani
 
Back
Top Bottom