Be calm
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 33,702
- 81,923
🤦✌️Mimi nakata gogo huku nakimbia, hamna kitu...uoga wake tu
Mwanamke ni Mwanamke tu tangu enzi na enzi
🤦✌️Mimi nakata gogo huku nakimbia, hamna kitu...uoga wake tu
Mwanamke ni Mwanamke tu tangu enzi na enzi
umeona makabila tu unene je..? ulishawahi kukaliwa na mwanamke mnene tumboni.?
Hawakujua rules of the gameKuna watu wamefanya yote lakini wamefukuzwa kwao na kipigo juu
watoto wa juzi hawa hawawezi kuelewa!..Nimecheka kifala🤣kaka ninayo hiyo experience manina sana nilipata demu alikua na kilo 72 mimi nilikuwa na 56😂Oya sio poa
watoto wa juzi hawa hawawezi kuelewa!..
mkuu nawe jitafunetafune kilo 56 unashida gani..🤣
Haya, we subiri tu. Kama hatutakisindikiza dawati la jinsia kuomba msaada.Acha uoga jiamini Mwanaume
Mwanaume kama unasimamisha hutakiwi kumuogopa Mwanamke yeyote anayekojoa amechuchumaa
KAMWE Sio mimi, kwnz nafikaje huko kwaajili ya Mwanamke?Haya, we subiri tu. Kama hatutakisindikiza dawati la jinsia kuomba msaada.
Hutafika kwa hiari, utatii bila shurti., kuomba msamaha juu. Unakumbuka yule mama wa Tarime aliyevunja rekodi ya kuwanyang'anya majambazi bunduki mara mbili tofauti, alipovamiwa na mmewe kukimbia kila tukio ? Sasa jifanye kiherehere ujichanganye uoe utawekewe meno ya bandia.KAMWE Sio mimi, kwnz nafikaje huko kwaajili ya Mwanamke?
Kumbe ndio maana unabondwa....Hutafika kwa hiari, utatii bila shurti., kuomba msamaha juu. Unakumbuka yule mama wa Tarime aliyevunja rekodi ya kuwanyang'anya majambazi bunduki mara mbili tofauti, alipovamiwa na mmewe kukimbia kila tukio ? Sasa jifanye kiherehere ujichanganye uoe utawekewe meno ya bandia.
Mwanamke mkorofi dawa yake rungu piga rungu kichwa upara mpaka anaita baba huyo akikuona anakusalimiaKilimanjaro ,kama hauna akili ya kupambana kiuchumi usioe kabisa , hawa mabinti zetu tumewatengeneza wawe wapambanaji na wahamasishaji wa maendeleo kwa nzia ngazi ya familia, na ilikua ni kwa faida zetu wenyewe na jamii yetu , sasa wewe ukiwa mvivu na ukaoa usitoe milio ya Nokia vumilia ,hilo ni chaguo lako.
Sawa, nilitaka kusema tu, kuna baadhi ya wanawake,,.si wote, usikurupuke utaaibika na ndevu zako. Hayo ya jando ni tamaduni tu,, wengine huenda na wengine sio muhimu.Kumbe ndio maana unabondwa....
Kuishi na Mwanamke haihitaji maguvu ya kupigana au ubabe wa mwili kijana
Mwanaume akiwa na akili hata kama ana 20 yrs anaishi na mwanamke mkorofi wa miaka 40
Unanifanya nihisi hujapita jandoni
Kilimanjaro kama ww ni bogus mwanaume wa vijiweni na msuli kazi kucheza bao siku nzima kusubiria korosho tafadhali usioe.Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha.
Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume.
Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini karibu wote ni vile vile.
Mkoa wa Arusha. Hapa kuna makabila mengi lakini Wameru ni hatari ndio nawalenga hasa. Ukioa huku utaendeshwa kama gari bovu.
Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla hujapinga hoja hii chunguza kwanza ww mwenyewe ndugu zako waliooa wanawake wanaotoka mkoa huu. Ni watata, wajuaji wanaopenda kuwa viongozi wa familia badala ya wanaume. Kupigana kama mwanaume ni dhaifu utapigwa sana na hata kufukuzwa kwako. Kama kijana ni dhaifu usioe huko. Wachagga, Wapare, Wakurya na Wameru wanawezana wenyewe kwa wenyewe.