Maeneo wanayopatikana wazungu mkoa wa Arusha

Wanapenda sn Karatu Motel, japo hao siyo watoto kwamba watakaa sehemu moja.
Karatu Motel cha mtoto.... Akatege mingo nje ya African Galleria pale sema tatizo wanatoka wakiwa kwenye magari labda akubali kuwa machinga kama wale wanaotusumbuaga abiria kwenye mabasi...au pale lake manyara view point na ngorongoro crater view point wanaposhuka kushangaa na kupiga picha... japo ukidakwa unalo baba hawaruhusu biashara maeneo hayo
 
Kuna mambo mengi mkuu mengine siwezi kuyaweka humu
Yaani we ndo wa ajabu kabisa badala ufunguke ili sisi tuliopo huku jikoni tukushauri unafanya kuficha au unadhani watakuibia wazo...ukija huku usijeshangaa unacholeta ni kitu cha kitoto mno maana huku wanaimport toka kila pande ya Africa zikiwemo Kenya, Senegal, Ghana na manchi mengine ya west Africa ambako African arts & crafts imebamba miaka mia...
 
Karatu Motel cha mtoto.... Akatege mingo nje ya African Galleria pale sema tatizo wanatoka wakiwa kwenye magari labda akubali kuwa machinga kama wale wanaotusumbuaga abiria kwenye mabasi...au pale lake manyara view point na ngorongoro crater view point wanaposhuka kushangaa na kupiga picha... japo ukidakwa unalo baba hawaruhusu biashara maeneo hayo
Mawazo mazuri
 
Yaani we ndo wa ajabu kabisa badala ufunguke ili sisi tuliopo huku jikoni tukushauri unafanya kuficha au unadhani watakuibia wazo...ukija huku usijeshangaa unacholeta ni kitu cha kitoto mno maana huku wanaimport toka kila pande ya Africa zikiwemo Kenya, Senegal, Ghana na manchi mengine ya west Africa ambako African arts & crafts imebamba miaka mia...
nauza vitu vya asili nachora pia na ninafanya maonyesho ya vitu vya kihistoria vilivyotumika zaman pia nasuka na kutengeneza dread
 
Kwa kazi za namna hiyo kuna maduka mengi tu ambayo unaweza kuwauzia wenye maduka kisha wao wakauza kwenye maduka yao kwasababu kama alivyochangia mdau mwanzoni hawa wageni wanapelekwa na madereva tour kwenye maduka wanayoyajua wao na kusimama kisha wanashuka kununua hapo...madereva wao wanapewa hela kuanzia elfu 20-40 na watu wenye maduka kila atakaposimama...kuwa na duka utahitaji mtaji wa kutosha maana huku ni ghali kidogo
 
Back
Top Bottom