Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,498
- 7,061
Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23).
Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini.
Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence Kanyuka, Joseph Bahati Musanga ameteuliwa kuwa Gavana wa Kivu Kaskazini
Soma, Pia: M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini
Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini.
Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence Kanyuka, Joseph Bahati Musanga ameteuliwa kuwa Gavana wa Kivu Kaskazini