Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,940
- Thread starter
- #21
siyo kweli mkuu. watu wenye kichaa/schizophrenia huwa wanashindwa kutofautisha kipi kipi muhimu na kipi siyo. chochote wanachoona au kusikia kwao ni muhimu. hili hupelekea kuchanganyikiwa. sasa wakivuta bangi au kunywa pombe akili hutulia na hujihisi amani. hili husababisha vichaa wengi kuwa walevi na wavuta bangi. hata wale ambao siyo vichaa lakini wanavinasaba vya ukichaa huvuta sana bangi, petrol, gundi nk kwa sababu hiyohiyo. lakini si wavutaji wote wana vinasaba vya kichaa ila wenye vinasaba vya ukichaa karibu wote huvuta.Tatizo akili inapotea.
kwahiyo, kichaa ndiyo husababisha watu kuvuta bangi na si bangi kusababisha kichaa. bangi ni dawa ya kichaa.