Madhara ya kutoka na changu yamenikuta

Dah sasa hapo unanichimba mkuu
 
Mjomba sikumla kavu ila jezi ili pasuka na baada ya ku mind sana ikabidi tukapime na ndipo tukajikuta afya zetu zipo salama..hiyo bar ni jiran na home na nilipazoea sana..
Duuuh uliamua kuuza mechi kwa maisha haya.....kutembea na rim bila tairi ni matokeo yke hayo huyo mtoto ni wako
 
Shemeji oa huyo mtoto wako mbona kama hauna amani ya moyo kapime DNA usimtese mtoto ni malaika
 
...huenda akawa obamaaaa....huenda akawa Mandelaaa....nakuombaa. Nelia.mmm kwa hisani ya Sauti Sol
Huenda akawa Osama, ailipue America, au akawa Alshabab waanzilishi wa vurugu, nakuomba Nelea ukatoe mimba weee ukizaaa huyo mtoto utalea peke yako, na vile dola imepandaaaaa katoe mimba yanguuuu..........
 
Reactions: BRN
Huyo mtoto hata kama so wako mleee.

Kuleana wanalea watoto hawajui mama zao sembuse wewe ulikua unamgonoa bartender?
 
Yaan wewe uliondoka kikazi kwa muda wa miezi mitatu...halafu ukarudi ukakuta ana mimba ya miezi miwili!!!!
Hongera kwa kupata mtoto.
Halafu anasema alisoma Biology Advance! Yaani alishindwa hata hizi hesabu za kutoa za Primary?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…