myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
- Thread starter
- #121
Cheki pia ngoma, maana huwa hainekani kirahisi. Unaweza pima mara 2 haipo, mara ya 3 unayo: Hebu msikilize Ferooz kwanza:
Simplicity hiyo kitu sina asee nisha pima more than 4 times