Madhara ya kuongeza Uume

Habari doctors,

Nahitaji ushauri wataalam kwani nnampango wa kuongeza uume.

Najaribu kuhisi yawezekana nikifika miaka ya 40 nguvu inaweza kupungua kabisa au nikashindwa kupafomu,

Pls nahitaji msaada wenu kabla sijafanya maamuzi.
kaka yangu sikia nikuambie, mm mwenyewe nilikuwa na mawazo ya ajabu kama yako lakini nikaona ni ujinga maana binadam tumeumbwa kila mtu kwa namna yake so hakuna haja ya kutaka kuwa kama mwenzako, ila katika pitapita zangu nilikutana na fact iliyonijenga.
kiufupi ni kwamba kama uume wako unaweza kusimama vizuri na kufikia kuanzia urefu wa nchi 5.5 fanya kurizika, maana tendo la ndoa sio vita.
pia unaweza ukauongeza halafu ukapitiliza size inayotakiwa au ukashindwa kabisa kusimama au uume ukawa legelege hata mwanamke wako asipate raha tena.
chukulia mfano wanaume wa bara la asia, wanaosemekana kuwa na uume mdogo kuliko wote duniani hawaendi beach? hawana watoto? ukijibu hayo maswali utakuwa comfortable, RIZIKA ULIVYO
 
Dar kuna kliniki ipo Masaki wanaongeZa uume kwa wale wenye Vibamia .

Hawa wanafanya surgery ambapo Unawekewa uume wa Punda,na baada ya hapo wanakuvisha pete ili isichomie maini ya mtu na pia unakuwa siku zote unavaa msuli!
 
Back
Top Bottom