Madhara ya kumsaidia mwanamke kazi za ndani

isee hii kweli ni ishu lakini kuna wakati ukitafakari unaona ufanye tu ili mambo yaendelee kuwa normal, mfano unakuta mashuka machafu, nguo chafu,kwenye friji kuna kila kitu lakini vingi vinaozea kwenye friji bila kutumika, Nyumba chafu, watoto wachafu, unajua kama ni tabia ya mtu kumbadilisha huwezi utakuwa unautesa moyo wako tu kwa kukereka, me sina mipaka ya kazi isee,kupika nipo, kufua nipo, ,madogo wakikaa vibaya nawaogesha, yaani hiyo yote ni ili mambo yaende UKISHAINGIA HUMU HAITAKIWI KUJIPANGIA MAJUKUMU, ILA DAIMA UKUMBUKE KAMA BABA JUKUMU LOLOTE LA FEDHA NI LAKO MPAKA PALE UTAKAPOCHUKULIWA NA MUNGU.
Umenena vizuri sana mkuu
 
Back
Top Bottom