Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,634
Ngoja nifikishe kwa jamaa yangu hapa maana yeye ni hatari
Nilianza kuwaambia wao sasa ni zamu yako
Sio tendo la ndoa, ni ngono au sexual immoralityWana MMU habari za majukumu?
Leo naomba tuangalie madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo, nikisema hovyo hovyo nina maana ile tabia ya kutaka kuzini na kila mwanamke au mwanaume unayemtamani.
Kufanya tendo la ndoa na kila mwanamke au mwanaume kuna madhara mengi sana,Leo ntataja machache.
1. Hushusha heshima ya mtu husika.
Kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo huitwa zinaa, zinaa husababisha mfanyaji aonekane ni mtu asiheshimika wala kuaminiwa na jamii.
2.Huharibu mahusiano kati ya mtu husika na Mungu.
3. Humuweka muhusika mbali na Mungu
4. Hujenga mazoea ya kutotulia na mwanamke au mwanaume mmoja hata baada ya kuoa au kuolewa.
5. Hupelekea kupata magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi,gono , kaswende na kadharika.
6. Hupelekea mwili kuchoka na kuzeeka haraka.
Hayo ni baadhi tu ya madhara ya zinaa.
Geuka acha zinaa , mrudie Mungu wako.
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona vyema kibanzi kwenye jicho la mwenzioNgoja nifikishe kwa jamaa yangu hapa maana yeye ni hatari
Biblia imesema zinaa ikimbiwekweli mchungaji, tuache zinaq bandugu
Ndugu jaribu kufanya utafiti utagundua kuwa ni kweli tupuNamba 6 sio....angalia tafiti....ku sex mara kwa mara huufanya mwili kuwa imara...na kukuweka hali ya ujana....
Nije kufanyaje mchungaji amekatazaNjoo inbox nikupe dawa
Hajakataza bhana!!Nije kufanyaje mchungaji amekataza
Dawa anayo mchungaji wewe ni mzinzi mwenzangu tuNjoo inbox nikupe dawa
AtiiiNamba 6 sio....angalia tafiti....ku sex mara kwa mara huufanya mwili kuwa imara...na kukuweka hali ya ujana....
Leo naona sio mchezo humu*zinaa
Mm si muongo kama wewe , acha kutetea dhambi itakuangamizaPastor acha kutuongopea, hakuna hata kimoja cha kweli ulichosema
Umenena mchungajiToa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona vyema kibanzi kwenye jicho la mwenzio
Ni tendo la ndoa ila linafanywa na wasio wanandoaSio tendo la ndoa, ni ngono au sexual immorality
KimaraBaba mchungaji kanisa lako lipo wapi nije kutoa sadaka na kubalikiwa na mahubiri yako jpili hii
Tamu lkn ina mwisho mbaya ikimbieAhsante baba mchungaji, ila ngono ni tamu kwa kweli nisikufiche..!!