Madereva wa malori Kenya wagoma, wataka madereva wanaotoka Tanzania waondoke

Naona JPM anazidi washika kubaya Wakenya....naona wamekuja kivingine safari hii
6d475cf7ad6c874a66b4765054b71598.jpg
Na Wakenya Tanzania waondoke. Wanatuletea majambazi na biashara zao zakutuletea mikate kutoka Kenya hatutaki
 
Ukweli ni kwamba kuna mlolongo wa madai mengine ya hao maderefa wa Kenya kabla ya kufikia hilo la maderefa wa Tanzania. Kuna mtu kasema humu ndani ni vyema kutafiti kwanza kabla ya kuhukumu. Inawezekana drivers wa tanzania walitegemewa nao washiriki katika kudai hayo madai mengine lakini hawakutoa ushirikiano. Inawezekana some of tanzanian drivers ndio chanzo cha tatizo huko southern sudan... hebu tusubiri ukweli kabla ya kuanza hizi value judgements
 
Hawa jamaa muda mwingine naona kichwani hamnazo!
Madereva wa Kitanzania wanahusika na lipi?
Kama wameajiriwa si wako kisheria?
Wanasahau kuwa wako Wakenya Kibao hapo Bongo?
KCB ,Equity Bank etc utakuja shangaa idadi ya wafanyakazi toka kenya ambao naamini hawastaili kuwapo na wengine wakiwa na ID feki za Kibongo eti wa Wajaluo oh Wakurya !
 
Nasisi tutawafukuza wakenya kenye nafasi zote walizoshika.

anza kuwafukuza mkuu tujue nyie wanaume, hapatishwi mtu hapa. naona waswahili mnashabikia upuzi bila kujaribu kudadavua kama kuna ukweli kwenye hii hoja ama ni propaganda tu, na kama kuna ukweli, mbona wame taja tu madereva kutoka bongo.
Naona siku hizi mnapiga kifua sana, ni mda tu tunawapa, mtarudisha mkia katikati kama kawaida yenyu, Tanzania ni soko letu na litabakia hivyo tu, nyie tuuzieni bidhaa za shambani pesa mchicha kama ilivyo desturi, Mnajichocha sana na huyo Magu wenyu na nyinyi ni wale wale waswahili, different toilet same sh.it
 
Dawa ya moto ni moto. Wakenya wapumbavu sana. Watanzania msiwaone kama ni marafiki zetu na ndio maana Magufuli ana wajua vizuri sana tokea enzi za kuvunjika kwa huu umoja mwaka 1978. Kwa hiyo Kenyatta ndio maana anamwogopa Magufuli sana
 
Hapa tufanye kama Ile ya mwaka jana tu walipozuia gari za utalii kuingia Nairobi, na sisi tukapiga ban KQ kutua inavyotaka Tz, mbona walinyoosha mikono wenyewe, dawa ni hiyo hiyo tu
 
anza kuwafukuza mkuu tujue nyie wanaume, hapatishwi mtu hapa. naona waswahili mnashabikia upuzi bila kujaribu kudadavua kama kuna ukweli kwenye hii hoja ama ni propaganda tu, na kama kuna ukweli, mbona wame taja tu madereva kutoka bongo.
Naona siku hizi mnapiga kifua sana, ni mda tu tunawapa, mtarudisha mkia katikati kama kawaida yenyu, Tanzania ni soko letu na litabakia hivyo tu, nyie tuuzieni bidhaa za shambani pesa mchicha kama ilivyo desturi, Mnajichocha sana na huyo Magu wenyu na nyinyi ni wale wale waswahili, different toilet same sh.it
Nyag'aunyag'au tu hawezi badilika. Mara bomba la mafuta, mara airport na sasa madereva lakini nionavyo mtatulia tu pusi nyie.
 
Ni upumbavu tu...jamaa wana roho mbaya sana kupita maelezo..wakilianzisha sisi tutamaliza.
 
Siku zote wakenya ni wajinga tuuu. Tumewapokonya bomba la mafuta limewauma sana. Sasa apo tunaweka Reli kwenda Uganda, Rwanda, Burundi, na Congo.
Iyo yote ni kuwakomesha awa wakenya. Na wakifanya ujinga tunakataza vyakula kwenda uko Kenya ili iwe fundisho kwao
 
Back
Top Bottom