Madereva wa Mabasi ya Mwendo kasi Kugomea Mikataba

'Hakuna jambo la serikali lilianzishwa na kufanikiwakwa 100%' Felix Mkosamali,Bunge la Bajeti2015/16,Dodoma
serikali imekaa l
kiwiziwizi itafanikiwa vipi! wakati wanatengeneza proposal WANAWEKA na 10%zao unategemea nn
 
Last edited:
serikali imekaa l
kiwiwizi itafanikiwa vipi! wakati wanatengeneza proposal WANAWEKA na 10%zao unategemea nn
Huo mradi ulishaonesha kuwa haupo makini,kipindi cha mvua miundo mbinu yake imeonesha kuwa mibovu na hawajafanya marekebisho hata kidogo,maeneo ya AKIBA na Jangwani maji yakijaa aidha mabas hayatapita na yakipita yatazimika hapohapo.
Mvua za mwaka jana zimeonesha hiyo hali
 
Mh. Mi sielewi ntaanzia wapi kuamini yanayoendelea,, lakini inaonekana mradi huo bado una zile element za awamu ya nne:eek:kiasi kwamba kigugumizi kwao kimekua kingi mno



Watu wa dar viacheni kuvipanda tuone kama hamto ishi,,
 
Back
Top Bottom