Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,202
- 95,954
Hutaki kuwa sehemu ya familia yenye vipaji? Mi muda si mrefu natokea studio... naenda kuachia singo ya Magufuli mbele kwa mbeleee.... Nna kipaji cha kuimba Komba kasingiziwa tuHahahahaaaa undugu huo uliogundulika jana mbona hatari?
Ama kweli pata uthaminiwe.