AhahahahahaaMwigulu Nchemba mwenyewe analalamika
Hii ndio solution.hahhah hii serikali ni kali usitegemee tejA asaidiwe labda kwa kuwasaidia tu wasiteseke tumwazime duterte kwa mwezi 1 tuone!
Nilitaka kuhoji swali hili hilikwan chid ndio mteja wa kwanza nchi hii ....?
Mtoa mada amechukulia Chid kama mfano maana wote tunamfahamu, jadili hoja ya kwamba kuanzia kwa waathirika ni chanzo kizuri cha kuwapata wauzaji.kwan chid ndio mteja wa kwanza nchi hii ....?
Tunashukuru kwa ushauri wako na Huruma yako kwa vijana wanaotumia madawa ya kulevya.Kwa kuwa serikali imekuwa ikitangazia umma kuwa inapambana na madawa ya kulevya kwa juhudi zote, sasa ionyeshe umma kuwa haijashindwa chochote kwenye hili suala!
Kwanza kuna huyu anayeitwa Chid Benz sijui ni kwa nini hadi hivi sasa serikali imekaa kimya kuhusu hili suala lake, imeshathibitika kwamba huyu mtu ni drug abuser, ameshaathirika sana na madawa ya kulevya, hivi ni kwa nini serikali haitaki kumsaidia kama ina nia ya dhati kabisa ya kupambana na madawa ya kulevya..
Anaachwa tu aendelee kutumia aangamie..?
Ni vijana wangapi kama huyu Chid wapo katika hali aliyonayo huyu Chid benz..?
Binafsi huwa nakutana na vijana wengi mno ambao wapo kwenye hali mbaya sana ambao wameshakuwa addicted!
Sasa kama haijulikani hao wauzaji wanapatikana wapi mbona njia ya kuwapata ni rahisi sana..
Hawa vijana ambao ni addicted wakamatwe au wapelekewe wapelelezi wanaweza kujifanya wao ni watumiaji wakadeal na hawa addicted mwisho wa siku ikajulikana wanakoyapata na hatimaye huo mtandao kunaswa!
Au ni kwamba wapo vigogo wa serikali waliopo kwenye huu mtandao wa kuuza madawa ya kulevya??
Huyu chid ataangamia tukiwa tunamuona na wala haitasaidia chochote kama hatu stahiki zisipochukuliwa mapema, achukuliwe asaidie huko anakoyapata ili tuokoe vijana wengine!!
Wakichukuliwa vijana kadhaa ambao ni addicted wakataja huo mtandandao itasaidia sana kuokoa kizazi hiki, kuwapeleka sorber haitasaidia sana, kikubwa tudeal na ile source wapi wanayapata!
Nawasilisha...
Tunashukuru kwa ushauri wako na Huruma yako kwa vijana wanaotumia madawa ya kulevya.
Hii vita si rahisi sana kama unavyofikiri kuwa unamkamata mtumiaji anakupeleka kwa muuzaji halafu unavunja mtandao wa wauzaji si rahisi kama haya maneno ulivyoandika.Na kama ungekuwa hivyo basi nchi kama Marekani yenye majeshi imara biashara hii ingekuwa historia.
Mabadiliko ya kwanza kabisa kwa mtu ambaye ni addicted yanaanza na yeye mwenyewe.Ndipo wengine wataweza kumsaidia kutumia mabadiliko hayo bila hivyo ni sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Serikali nyingi dunia zimeweka sheria Kali na adhabu Kali hadi kunyongwa lakini bado binadamu kila kukicha ndo kwanza anafikiria hii biashara.
Na kumbuka Tanzania hakuna soko la madawa ya kulevya ila ni njia ya kupita kwenda mataifa mengine kwa kujibu ya taarifa za UN.kitengo cha kudhibiti biashara ya madawa.
Aliishia kwenye shishaaaKuna wakati makonda alitembelea kituo cha waathirika wa madawa ya kulevya, wakamwambia wako tayari kumtajia dealers wa unga, iliishia wapi
Point yako ni ipi?kwan chid ndio mteja wa kwanza nchi hii ....?
Rudia kusoma uelewe, Chid ni kama sample!kwan chid ndio mteja wa kwanza nchi hii ....?
Huo ni mtazamo wako kuona kuwa hoja yangu haina mashiko, lakini ukweli utabaki kuwa kwamba hawa vijana wanaangamia si kwa uzembe wao tu bali taifa limeshindwa kupambana na hii kitu.freyzem! hoja yako haina mashiko ndugu yangu, hv kwa mtazamo wako vijana walioathirika na madawa nchi hii wako wangapi? napinga kauli yako kwa 100%, we unaacha kuishaur serikal itatue kero na changamoto mbali mbali muhim zinazowakabili wananchi wake, eti unashaur iwaangalie wa akina chid, kwan chid yeye nan? umejishusha sana ndugu yangu, hv ww mvuta unga unamjua vzr? mvuta unga si bwege tu, kwan kuna mtu alimtuma akavute? ww mbona huvut si kwa sababu unayajua madhara yake? kwa iyo mi naishaur serikali isihangaike kabisa na hao wajinga sababu ni maisha waliojichagulia ayo, kama ni nguvu kazi wapo vijana kibao tu mtaan ambao hawajaathirika na ayo madawa
Unayoyasema ni kweli, lakini mbadala wake upo!kama hujui vzr, mvuta unga hata umsaidie vp , hawez akaacha kuvuta ndugu yangu, na kama unakumbuka vzr rais wa awamu iliyopita alifanya juhud za makusud kumsaidia yule dada mwanamuziz ray . lakin umeona kilichotokea?
Madawa ya kulevya nayo ni changamoto Mzee ,usijifanye umeshikiwa maikifreyzem! hoja yako haina mashiko ndugu yangu, hv kwa mtazamo wako vijana walioathirika na madawa nchi hii wako wangapi? napinga kauli yako kwa 100%, we unaacha kuishaur serikal itatue kero na changamoto mbali mbali muhim zinazowakabili wananchi wake, eti unashaur iwaangalie wa akina chid, kwan chid yeye nan? umejishusha sana ndugu yangu, hv ww mvuta unga unamjua vzr? mvuta unga si bwege tu, kwan kuna mtu alimtuma akavute? ww mbona huvut si kwa sababu unayajua madhara yake? kwa iyo mi naishaur serikali isihangaike kabisa na hao wajinga sababu ni maisha waliojichagulia ayo, kama ni nguvu kazi wapo vijana kibao tu mtaan ambao hawajaathirika na ayo madawa
Umenena vyemaMkuu moja kati ya biashara mbaya na yenye mizizi mikubwa na ushawishi mkubwa hapa duniani.....ni hii ya madawa yanayoitwa ya kulevya........
Ni biashara ambayo inafanyika hata katika nchi ambazo wewe unaweza kuona ulinzi uko juu.....
Ni biashara inayohusisha watu walioshika mihimiri yote ya kiuchumi ya ulimwengu huu......fedha chafu zinazotokana na biashara hii....ndizo zinazotakatishwa na kuendesha shughuli mbali mbali za kiuchumi.......
Ni kama sigara ambayo ni hatari kwa maisha ya mwanadamu....lakini pato lake haramu....ni muhimu kiuchumi......
Jukumu lako ni wewe kuwa balozi kwa wale wapendwa wako....wasijihusishe na ushetani huu.....