Madawa ya kulevya Arusha: Wamekamatwa na mirungi na bhangi

Tema-Mate-Tuwachape.jpg
 
Nna swali?hivi waliyokamatwa dar wamepatikana ama wamekutwa na nini?

Ova
 
Tunataka kuona Dar isiyo na madawa hasa unga. ONYESHeni suluhisho tufanye nini
Suluhisho hili hapa..
1. Toeni elimu juu ya madawa ya kulevya Kwa vijana
2. Toeni ajira kwa vijana
3. Wapeni mikopo wale vijana waliofaulu na sasa wanavikimbia vyuo na kurud mtaani kwa kukosa mkopo.
4. Vyombo vya dola viache kuhangaika na upinzani na badala yake vihamishie nguvu nyingi airport na bandarini kuzuia uingizwaji wa dawa za kulevya.
5. Jengeni jela rasmi kwa ajili ya mateja,ikibid kwakua serikali hii ni ya kibabe,kwenye hiyo jela mkiwafikisha mnawauwa kimya kimya
Ni hayo tu
 
sasa kaskazini wakisema ni bangi na mirungi sisi vijana wote si tutaenda sero .

nahisi sisi wa kaskazini tutaitwa uwanja wa ushirika moshi sababu hatutatishea police
 
sasa kaskazini wakisema ni bangi na mirungi sisi vijana wote si tutaenda sero .

nahisi sisi wa kaskazini tutaitwa uwanja wa ushirika moshi sababu hatutatishea police
Ha ha haaaa. Sasa bila bhangi kule mererani tutachimbaje Tanzanite? Kama vipi waufunge mgodi maana hakuna namna sasa
 
Hivi bangi na mirungi ni madawa ya kulevya?

Halafu anajitahidi kuzuia bangi na mirungi Chuga?

 
Back
Top Bottom