Madaraja Makubwa ambayo Tanzania Inajigamba nayo Yalishajengwa na Nchi mbalimbali mfano ni Uganda

Tanzania tumekuwa tunajiainisha sana kwenye mitandao Kwa kuweka picha mbalimbali za miundombinu mfano madaraja Makubwa na flaiova huku tukibeza Nchi zingine bila kujua kinachoendelea huko.

Ukiangalia makelele yanayopigwa baada ya kukamilika Kwa daraja la JPM Kigongo Busisi,Tanzania,Wami nk unaweza dhani Tanzania ndio Nchi ya kwanza hapa Afrika kufanya hivyo.

Hivyo hivyo kwenye flaiova.Kwa Taarifa yenu tuu Uganda hapo ilishajenga daraja kama la Kigongo -Busisi miaka 5 iliyopita na madaraka mengine makubwa mengi tuu.

Hivyo hivyo kwenye flaiova,huko ndio tuko nyuma mboo kiasi kwamba tukioata hata kamoja tusiwe na makelele sana maana tunajiabisha na kuonesha jinsi gani tuna akili finyu.

Jinja bridge 👇👇

View: https://youtu.be/-aHr89ANq_E?si=bbfEFbAp3hREwCW5

My Take
Ni vyema tusafiri Nje ya Nchi kupata exposures na nini kimefanyika au nini kinafanyika .

Sio vibaya kufurahia na kushangilia ila sio sawa kujigamba na kukejeli wengine wakati uhalisia tunaoneoana hamnazo.

View: https://youtu.be/wFqb-VY0H10?si=rktF8SDrFDfYpnJc

Mtoa mada unakosea. Lengo la kujenga daraja ni kuleta maendeleo na si kushindana na nchi nyingine. La sivyo tusijenge hayo madaraja, wala shule, wala hospitali, wala vyuo, kwa kwa kuwa tayari vitu hivyo wenzetu wa Ulaya wanavyo tangu miaka nenda rudi. Sisi kwa kuwa hatukuwa navyo, tukivipata budi tujipongeze.
 
Uko sahihi watu kwenda hata Kenya wanaogopa ila wakiona mabadiliko tu kidogo basi tambo kama zote utafikiri shida ndiyo zimeisha kabisa.
 
Mtoa mada unakosea. Lengo la kujenga daraja ni kuleta maendeleo na si kushindana na nchi nyingine. La sivyo tusijenge hayo madaraja, wala shule, wala hospitali, wala vyuo, kwa kwa kuwa tayari vitu hivyo wenzetu wa Ulaya wanavyo tangu miaka nenda rudi. Sisi kwa kuwa hatukuwa navyo, tukivipata budi tujipongeze.
Hapa Tanzania imegeuka ni kushindana na wengine na in fact watu wabajilinganisha na wengine so Hilo lengo linakuwa halijasimama inavyotakikana.

Mambo ya kusema Tanzania kama Ulaya hapo hujajilinganisha?
 
MSUMBIJI
 
Attachments

  • FB_IMG_1728660325293.jpg
    FB_IMG_1728660325293.jpg
    83.6 KB · Views: 1
Punguzeni ushamba na utoto.Tuunde kombora la masafa marefu ndio tujipige kifua ila kushangilia Barabara na ziara zisizoisha ni upuuzi
Nafurahi sana kuona kumbe unaelewa swala la ujenzi wa barabara, shule, hospital na huduma za maji au umeme ni wajibu wao viongozi kutokana na kodi ambazo wananchi wanaumia napo si mateso ni wajibu wa mwananchi.
 
Tanzania tumekuwa tunajiainisha sana kwenye mitandao Kwa kuweka picha mbalimbali za miundombinu mfano madaraja Makubwa na flaiova huku tukibeza Nchi zingine bila kujua kinachoendelea huko.

Ukiangalia makelele yanayopigwa baada ya kukamilika Kwa daraja la JPM Kigongo Busisi,Tanzania,Wami nk unaweza dhani Tanzania ndio Nchi ya kwanza hapa Afrika kufanya hivyo.

Hivyo hivyo kwenye flaiova.Kwa Taarifa yenu tuu Uganda hapo ilishajenga daraja kama la Kigongo -Busisi miaka 5 iliyopita na madaraka mengine makubwa mengi tuu.

Hivyo hivyo kwenye flaiova,huko ndio tuko nyuma mboo kiasi kwamba tukioata hata kamoja tusiwe na makelele sana maana tunajiabisha na kuonesha jinsi gani tuna akili finyu.

Jinja bridge 👇👇

View: https://youtu.be/-aHr89ANq_E?si=bbfEFbAp3hREwCW5

My Take
Ni vyema tusafiri Nje ya Nchi kupata exposures na nini kimefanyika au nini kinafanyika .

Sio vibaya kufurahia na kushangilia ila sio sawa kujigamba na kukejeli wengine wakati uhalisia tunaoneoana hamnazo.

View: https://youtu.be/wFqb-VY0H10?si=rktF8SDrFDfYpnJc

Hehe naona shida hapo kwako ni JPM
 
Back
Top Bottom