Madaktari walioajiriwa wametoswa?

Kwa Mara ya kwanza nimeamini kuwa hii serikali ni ya kisanii sana...walisema jumatatu mi siku ya kuripoti ila Mpaka wikiendi inaisha kulikuwa Hamna taarifa.
Jana Niko kwenye mizunguko yangu nikaamua nipite pale wizarani posta.... Niliishia kuzungushwa tu, nilipitishwa karibu ofisi zote hadi ya chief medical officer Na kwa hakika kila mmoja hakuwa Hata Na taarifa juu ya ajira hizo, yani wizara Mzima hakuna anayejua lolote kuhusu hizo ajira. Sikuamini macho yangu...nikajiondokea
Pole sana. TanzaGiza
 
Pole sana
 
Poleni watz mi nimeshahamia Botswana njoooni madactari tuwatibu wa tswana huku bondeni
 
Back
Top Bottom