Kuna hii kauli ya watu wanosema ya kwamba eti madaktari waongezewe mishahara mikubwa kwa kuwa wao eti wanaokoa maisha ya watu !
Hivi ingekuwa madaktari wanaokoa maisha ya watu mbona, aliyekuwa rais mstaafu Julius K. Nyerere amekufa hivi hivi huku kazungukwa na jopo la madaktari bingwa tena wa Uingereza ambao mishahara yao ni mikubwa, vitendea kazi vya kutosha. Si wangeokoa maisha ya Nyerere basi , mbona amekufa ?