Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Mwaka huu mkae mkao wa kuwajibishwa na mziki wa lisu,mtake msitake lazima mpoteze wabunge na mawaziri mizigoHeri ungejua fani na uzoefu wa mtu unayejibishana naye na huo ushabiki maandazi wako.
Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo ndo maana unaleta mambo ya ushabiki hapa.
Sijamshusha hadhi Lissu kwa sababu ya chuki za kisiasa. Huyu bwana ni mwongo, mptoshaji na kigeugeu. Nimetoa mifano kwenye post zangu mbili hapo juu. Kama umeona nimekosea zichambue hizo post sio kuleta usha
Hao wabobezi wa sheria wanamsifu Lissu ni kina nani? Najua huko Ukawa wasomi ni wachache kwa hiyo ndo maana Lissu anaonekana kinara.
Ni wazi pia, katika bunge lilipita kulikuwa na mapungufu makubwa ya vipaji, ujuzi na weledi.
Mama Makinda alikuwa anapata shida ya kupata vichwa vyenye nafuu baada ya kuimba mipasho yao.
Na kwa taarifa yako Mama Makinda si mwanasheria mbobezi. Ana ujuzi wa kawaida tu wa sheria. Mwanasheria mwingine wa ukawa huko bungeni alikuwa Halima Mdee. Sasa yule hana ubobezi wowote katika sheria.