Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,069
- 6,745
- Thread starter
- #61
NGOJA NISABUSKRAIBU HUU UZI!
MAANA HAKUNA NAMNA!
NGOJA NISABUSKRAIBU HUU UZI!
MAANA HAKUNA NAMNA!
Bahati mbaya wazazi wangu wametangulia ila huwa nahakikisha kila mwezi namtumia mama mkwe kias flan cha fedha, hata kama Mr anamtumia mimi wajibu upo pale pale ni utaratibu niliojiwekea.
Mkuu unacho sema ni kweli ila kumbuka kuwa sio wote tulio toka familia zenye uwezo wa kumwandalia mtoto mazingira ila tumetoka familia ambayo imepambana ili Mimi ni fanikikiwe na wakati huo wanapo ni hangaikia Mimi na familia inazidi kudidimia hapo ninacho kipata lazima nijaribu kukirudisha kama faraja yangu kwa wazazi wangu

Kwa kufanya hivyo, watoto wako nao watakufanyia hivyo hivyo utakapo zeeka, hivyo basi, mzunguko wa vizazi vinavyoanza maisha na sifuri utakuwa unaendelea. Ni bora kuacha kizazi kimoja kihangaike ili kunusuru vizazi vijavyo.Mkuu unacho sema ni kweli ila kumbuka kuwa sio wote tulio toka familia zenye uwezo wa kumwandalia mtoto mazingira ila tumetoka familia ambayo imepambana ili Mimi ni fanikikiwe na wakati huo wanapo ni hangaikia Mimi na familia inazidi kudidimia hapo ninacho kipata lazima nijaribu kukirudisha kama faraja yangu kwa wazazi wangu
Sawa mkuu tunatofautiana katika malezi wengine tumelelewa katika familia duni ambazo bila kurudisha fadhila Leo nitakosa hata ushauri waoKwa kufanya hivyo, watoto wako nao watakufanyia hivyo hivyo utakapo zeeka, hivyo basi, mzunguko wa vizazi vinavyoanza maisha na sifuri utakuwa unaendelea. Ni bora kuacha kizazi kimoja kihangaike ili kunusuru vizazi vijavyo.
Sawa mkuu tunatofautiana katika malezi wengine tumelelewa katika familia duni ambazo bila kurudisha fadhila Leo nitakosa hata ushauri wao
Mentality za kukwepa majukumu hizi mtaziacha lini? , unaongea kama vile sio mwafrika... Mzazi kakulea umenyonya maziwa yake mpaka misuli imelegea na nguvu zimemwishia... Nani amlee?Fikra za hivi ndiyo zinatufanya Wa-Afrika tuwe maskini na kila kizazi kiwe kinaanza maisha na sifuri. familia ni baba, mama na watoto tu. kuwasaidia wazazi au ndugu zako ni kuwadhulumu watoto wako, pia siyo lazima.
Nini kifanyike. mtu anapomleta mtoto Duniani, inatakiwa amlee mpaka afikishe umri wa kujitegemea, wakati huo huo ajipange na maisha yako ya uzeeni, mtoto anapoanza maisha, mzazi anatakiwa kumpa mtoto kianzio cha maisha. Mfano: Fedha, nyumba, mifugo, shamba au Gari. Hivi ndiyo jamii zilizoendelea zinafanya, Mfano wa jamii hizi ni Waarabu, Wahindi na Wazungu.
Watu weusi lazima tubadilike kwenye swala la kuhamisha uchumi kutoka kwa baba kwenda kwa watoto na siyo kutoka kwa mtoto kwenda kwa baba. watoto tunawajibu wa kuwalea wazazi kijamii na siyo kiuchumi. Tukifanya hivi vizazi vijavyo vitaishi vizuri kiuchumi.
Sawa madamNdio maana yatupasa kuwakumbuka kulingana na uchumi wao, masikini wanataka kusaidiwa zaidi ya zawadi.
Hakuna kama mzazi hasa kwangu mimi Mama ndio kila kitu changu,wakati wa uhai wake hela yangu yeye ndio anajua
nna kiyasi gani kwenye account,na anayo card yake anaweza kuchukua hela kwenye account yangu wakati wowote,na hata mfano anataka kuchukua hua ananambia naomba nitoe hela,namwambia Mama usiombe chukua,siwezi kumpa shoga wala sadaka kabla mzazi wangu pepo iko chini ya miguu yake na mimi nimwanamke kama yeye najua Adhabu ya kua mzazi,ila Baba nampa lakini sio kama Mama...
Mentality za kukwepa majukumu hizi mtaziacha lini? , unaongea kama vile sio mwafrika... Mzazi kakulea umenyonya maziwa yake mpaka misuli imelegea na nguvu zimemwishia... Nani amlee?

Hujanielewa kwa sababu umesoma komenti yangu ili ujibu na siyo ili uielewe, pia huoni mbali, unawaza mambo ya chini ya miaka 10, kitu ambacho ni tatizo kubwa kwa sisi Wa-Afrika.Mentality za kukwepa majukumu hizi mtaziacha lini? , unaongea kama vile sio mwafrika... Mzazi kakulea umenyonya maziwa yake mpaka misuli imelegea na nguvu zimemwishia... Nani amlee?
Habari za jumapili wapendwa?
Hakika kila mtu humu ana wazazi/mzazi/walezi.
Wazazi/walezi wetu walijitoa muda, akili, mali zao japo wengine walikuwa na maisha ya shida taabu ila walifanya vibarua na kubangaiza kuhakikisha tunakua vyema.
Wengine walifanya kazi za kudhalilika sana jamii iliwadharau lakini waliziba masikio yote ili watulee, tule, tuvae, tusome n.k.
Wapo waliokuwa na uwezo mkubwa wa kifedha haimaanishi hawajajitoa! Pia walitoa muda, fedha zao nyingi kwa ajili yetu kulingana na uwezo wao! Huu ni upendo na kujali sana.
Je baada ya kujitegemea umejiajiri, umeajiriwa, unabangaiza na unapata chochote umetenga asilimia ngapi % kwa ajili ya wazazi/walezi wako? Mfano unapata jumla ya 150,000 kwa mwezi unashindwa kutenga 15,000 kwa ajili yao?? Wapo wanaopata 500,000,700,000,1,000,000 hawa nao wanashindwa kutenga 40,000-60,000 tu kila mwezi kwa ajili ya kuwasaidia wazazi? Mfano kama unapata 600,000 ukaamua bajeti yao kila mwezi ni 40,000 chukua ya miezi 3= 120,000 ukawatumia kila baada ya miezi 3 watafurahi sana itawafaa kwenye matumizi yao. Kama wana fedha zaidi yako basi kwa miezi kadhaa unaanda zawadi kwa ajili yao. Hizi ndo baraka zenyewe hizi.
Watu watasema ooohhh kipato changu mi mwenyewe hakinitoshi mmmhhh kweli kabisa? Hao marafiki unawasaidia hela ngapi? Bia unawanunulia ngapi kwa mwezi? Harusi na michango mingapi kwa ajili ya kusherehekea unachangia ndugu yangu huko uliko?
Hivi kweli michango ya sherehe, starehe na marafiki zako bajeti yako inakuwa kubwa zaidi ya wazazi/walezi? Simaanishi usijumuike na marafiki hapana! Walezi/wazazi wawe ni sehemu ya bajeti yako japo 10%.
Unatoa 10% kanisani wazazi wako wana maisha magumu kweli una akili? Unatoa zaka msikitini ili uonekane huko uliko lakini wazazi wako hawajapata mlo huo ulioupata Ona unavyokuwa mwenyekiti wa kamati mbalimbali unatoa pesa nyingi ila wazazi hadi wawe na tatizo hasa kuugua ndo utoe.
Tubadilike baraka nyingine tunazikosa kwa kukosa maarifa japo 5-10% kwa ajili yao
Na,
Madam Mwajuma
Kidogo unaanza kunielewa. Unaweza kurudisha fadhila bila kuathiri familia yako.Sawa mkuu tunatofautiana katika malezi wengine tumelelewa katika familia duni ambazo bila kurudisha fadhila Leo nitakosa hata ushauri wao
Asante bestumeongea point best wengine wmejisahau kabisa aaaa wao starehe
Habari za jumapili wapendwa?
Hakika kila mtu humu ana wazazi/mzazi/walezi.
Wazazi/walezi wetu walijitoa muda, akili, mali zao japo wengine walikuwa na maisha ya shida taabu ila walifanya vibarua na kubangaiza kuhakikisha tunakua vyema.
Wengine walifanya kazi za kudhalilika sana jamii iliwadharau lakini waliziba masikio yote ili watulee, tule, tuvae, tusome n.k.
Wapo waliokuwa na uwezo mkubwa wa kifedha haimaanishi hawajajitoa! Pia walitoa muda, fedha zao nyingi kwa ajili yetu kulingana na uwezo wao! Huu ni upendo na kujali sana.
Je baada ya kujitegemea umejiajiri, umeajiriwa, unabangaiza na unapata chochote umetenga asilimia ngapi % kwa ajili ya wazazi/walezi wako? Mfano unapata jumla ya 150,000 kwa mwezi unashindwa kutenga 15,000 kwa ajili yao?? Wapo wanaopata 500,000,700,000,1,000,000 hawa nao wanashindwa kutenga 40,000-60,000 tu kila mwezi kwa ajili ya kuwasaidia wazazi? Mfano kama unapata 600,000 ukaamua bajeti yao kila mwezi ni 40,000 chukua ya miezi 3= 120,000 ukawatumia kila baada ya miezi 3 watafurahi sana itawafaa kwenye matumizi yao. Kama wana fedha zaidi yako basi kwa miezi kadhaa unaanda zawadi kwa ajili yao. Hizi ndo baraka zenyewe hizi.
Watu watasema ooohhh kipato changu mi mwenyewe hakinitoshi mmmhhh kweli kabisa? Hao marafiki unawasaidia hela ngapi? Bia unawanunulia ngapi kwa mwezi? Harusi na michango mingapi kwa ajili ya kusherehekea unachangia ndugu yangu huko uliko?
Hivi kweli michango ya sherehe, starehe na marafiki zako bajeti yako inakuwa kubwa zaidi ya wazazi/walezi? Simaanishi usijumuike na marafiki hapana! Walezi/wazazi wawe ni sehemu ya bajeti yako japo 10%.
Unatoa 10% kanisani wazazi wako wana maisha magumu kweli una akili? Unatoa zaka msikitini ili uonekane huko uliko lakini wazazi wako hawajapata mlo huo ulioupata Ona unavyokuwa mwenyekiti wa kamati mbalimbali unatoa pesa nyingi ila wazazi hadi wawe na tatizo hasa kuugua ndo utoe.
Tubadilike baraka nyingine tunazikosa kwa kukosa maarifa japo 5-10% kwa ajili yao
Na,
Madam Mwajuma
Kwa nini baba ujampa ATM cardHakuna kama mzazi hasa kwangu mimi Mama ndio kila kitu changu,wakati wa uhai wake hela yangu yeye ndio anajua
nna kiyasi gani kwenye account,na anayo card yake anaweza kuchukua hela kwenye account yangu wakati wowote,na hata mfano anataka kuchukua hua ananambia naomba nitoe hela,namwambia Mama usiombe chukua,siwezi kumpa shoga wala sadaka kabla mzazi wangu pepo iko chini ya miguu yake na mimi nimwanamke kama yeye najua Adhabu ya kua mzazi,ila Baba nampa lakini sio kama Mama...
Baba anabiashara zake Alhamdullah,na ndio alokua ananishikilia sana kwenye mambo ya kama kujenga kununua viwanjaKwa nini baba ujampa ATM card