Machozi! Kwanini mmemchinja mama yangu?

Ukimuona huyo dogo ni kama umemuona anko wake daah! Pole allan mungu akupe moyo wa ujasiri.
 
Kweli mengine yasikie kwa jirani tu.. Yakikutokea ndio utajua ni jinsi gani mtu anaumia pale anapompoteza mtu anaempenda na kumtegemea zaidi katka maisha yake.. Huyo mtoto kabaki yatima kama vile alikuja duniani kimiujiza.. Kweli dunia ni kama jangwa unaweza kubaki mwenyewe muda wowote...
 
Nikimfikiria huyu mtoto machozi yanaitoka all in all Mungu atampa lililo jema japo atakua na picha mbaya sana katika maisha yake..... Mungu amkuze katika hekima na kimo na ampe kusahau katika hili. Ndugu, jamaa na marafiki Mungu awawezeshe kumlea vizuri asahau hili la kuondokewa na mama yake
 
aiseee Mungu msaidie mtoto huyu yaani mwondolee kukumbuka tukio hili na wale anaokaa nao wampende kama mama yake alivyompenda mweee ukatili wa kikatili namna hii binadamu hatuna utu kabisa
 
Back
Top Bottom