Machi hadi juni 1973 kwa nyakati tofauti Burundi ilituma ndege za kijeshi kuivamia Kigoma. Nyerere atumia busara kubwa

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,401
6,774
Ndege za Burundi zinazosadikiwa kuendeshwa na wafaransa zavamia vijiji vya Mkoa wa Kigoma.

Ilibainika baadae South Africa, Msumbiji, Ufaransa na Marekani walikuwa nyuma ya Burundi.
South Africa na Msumbiji zilikuwa bado chini ya serikali za kikoloni huku Rais wa Kenya Jomo Kenyatta akimuonya Nyerere kutojibu mashambuluzi.

Mamia ya watu waliuliwa Kigoma na ndege za kivita kutoka Burundi kati ya machi na juni 1973. Wakati fulani mashambulizi hayo yalifuatiwa na Askari wa miguu yaani infantry soldiers.

Cha kufurahisha suluhu ilifikiwa baadae July 1973 jijini Dar es salaam chini ya msuluhishi Mobitu seseko Rais wa Zaire.

Burundi iliomba msamaha kwa maandishi na kulipa fidia kwa watu wa Kigoma.

Awali dai la Burundi kama ilivyokuwa Uganda mwaka huo, zilidai Mwalimu Nyerere anafadhili waasi kwa kuwapa silaha na kambi za mafunzo.

Source: The Chanzo YouTube channel: Jeshi la Burundi lashambulia vijiji Kigoma.
 
🙏🏿Somo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom