Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?

Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Kwa hiyo ulitakaje kwenye hicho kitenge ulitaka waweke picha ya bibi yako?

Hapo imewekwa picha ya raisi kama kiongozi mwanamke namba moja nchini
 
Aaaah bana wee, ukiwa chawa usiache kuwa na akili... ili iweje? We celebrate women sio mtu mmoja kwa kujipendekeza ili kufanya onekane mwema. Tena vinasambazwa kwa watumishi wa umma😂😂😂
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Matumizi mazuri ya warembo, japo wanawake waliowengi Kwasasa hawamesahau kujiremba
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Misukule ya maza katika ubora wao.
 
Amini amini nakwambia:
ipo siku Samia atajamba na watu watapiga makofi na vigelegele vingi sana mark ny words 😢
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Kuna mda nahisi hata Samia mwenyewe akikaa peke yake anacheka sana na kufurahi kuongoza watu wapuuzi , wajinga wasiojitambua
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Kama wanawake ndio Wameweka picha zake wewe unateseka na nini?

Pia wanawake Wana Haki ya kuweka hizo picha zake Kwa sababu wanasherehekea mafanikio ya mwanamke mwenzao sio tuu yeye binafsi Bali Kwa faida ya Wanawake wenzie 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFo-tNMt3Eu/?igsh=cnp1NTZxenBoeDlv
 
Sisi wananchi tarehe 08/03 tutakuwaj na jambo letu Benjamin Mkapa Stadium tukimwadhibu mnyama na kukaa kileleni mwa ligi
 
sio kushindia mtaani tu bali pia kwenye matukio muhimu kama vile mikutano, harusi, ibada, kutembelea wakwe, safari n.k

sasa gubu, chuki binafsi na roho mbaya zitawauma mpaka lini gentleman kwa mfano?

Jamuhuri stadium Dodoma imejaa mapema ni mwendo wa uji tu Dodoma nzima dah!🐒
Vaa kitenge tukubadili jina na jinsia mapema.
 
gubu na muhemko Lazima vikuchakaze haswaa huku CCM na waTanzania wakisonga mbele kwa pamoja 🐒
1738521514345.jpg

Wa kufanana na wewe hao, siku mkivalia kitenge sijui itakuaje ?
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Upuuzi tu
 
Back
Top Bottom