Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,729
Anebishana na ukweli hana tofauti na anaepiga ukuta ngumi...... Sawa tufanye wewe uposahihi na hii post jamaa hajaongea ukweli.Not always the case...
Who is the bait depends na circumstances za kimaisha....cause people change...
ni kama vile useme mabinti wanaoshiriki u'miss hawana miisho mizuri kwa kumtizama wema sepetu...ila wapo kina nancy sumari,k lyn, faraja and co....sio kwamba walikuwa hawatiani na watu na watu wakajua hamnaaa.....positioning tuu...
mapenzi hayana formula wala mahakama!
Binti kujitunza sanaaa doesnt guarantee you a happy ending!na hio ni FACT,
Ndo mana watu wanatoa mabinti bikra na hawawaoi vile vile!...ingekua basi mtu akimtoa mtu bikra anamthamini sana na kumuoa
Watu wanajichukulia zao used anakaa nae sio kwamba bikra hazipo ama hajawahi toa bikra!
Mambo ni mengi muda mchache!