jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,332
- 36,520
Huwa mnashindwa nini ku appreciaye kuwa hao manabii kabla hajaja mudi walikua ni wayahudi,wokovu unaanza kwa wayahudi.Toka Nabii Adam A.s mpaka Nabii Nuuh,hapo katikati walikua wanatumia mafundisho ya Nabii Adam A.S kabla hawjaletewa Nabii Nuuh A.S.Kadri kizazi kilivyotanuka kilikuwa kinatokea mjumbe WA kuwafikishia habari za akhera miongoni mwao.Hakukua na kizazi ambacho hakikupata mjumbe.