Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,083
- 8,374
Na Makalwes pharmacy sio yake?Pharmacy zake zinaitwa kayonza pharmacy. Mrs kashaga bado anaendeleza business kama kawa.
Na Makalwes pharmacy sio yake?Pharmacy zake zinaitwa kayonza pharmacy. Mrs kashaga bado anaendeleza business kama kawa.
Freedom akuna chochote ni wakawaida sana ana pesa ya kutisha ata afiki ata robo kwa jose chuwa wa vipodoziKuna Freedom Fighter (Edo) jank mdogo na magari jiji zima
Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.
Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.
Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.
Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.
Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana
Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.
1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality
6.......
7.......
cc.fisadikuu
Sasa hivi vipi mama kashindwa kuendeleza biashara au imekuaje. .jamani alikua vizuriKulikuwa na mmoja nilikuwa namfahamu alikuwa anaitwa Kashaga, huyu alianzia Arusha biashara ya phamacy, baadae akahamia Mwanza akafungua duka kubwa sana la madawa ya binadamu na alikuwa anaingiza kontena zima la dawa anasambaza kwa wafanyabiashara wengine, ila jamaa alipata ajali ya gazi mwanzoni mwa 2000, alikuwa ana hela safi tu.
Ana branch wapi tena au ni zoo pekeyake. Nipo kigoma ila kwa wafanyabiasharawadogo wanamjuaPharmacy zake zinaitwa kayonza pharmacy. Mrs kashaga bado anaendeleza business kama kawa.
Ndio yale ya Ng'olo? Hata sijui zile hiace bado ziko huko mwanza au laKuna Freedom Fighter (Edo) jank mdogo na magari jiji zima
Hama jekundu?Zong zong huyoHivi huyu jamaa nimekutana nae junk mdogo anaendesha hizi land rover sometimes hummer hua ni nani? Anaonekana kama muha muba hivi, kuna siku tumekutana bank ana mafungu ya hela za 10,000 kama sio bilioni basi zaidi..maana zilikua rambo kubwa kama 5 hivi zimejaa jamaa mdgo sidhani kama amefikisha 30
Alifariki kwenye hiyo ajali mkuu, imebidi nikajazie kwenye comment yangu.Sasa hivi vipi mama kashindwa kuendeleza biashara au imekuaje. .jamani alikua vizuri