Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

peter fashion ni mkaskazini..

Boss Ngasa toka Matei afaraki hakuna cha bata wala nini amebaki yeye na blog yake tu.
 
Upo wrong mkuu,,hapo ambe upo sahihi ni bhanji tuu,,hao wengine wote makanjanja,,huyo boss ngasa hamna kitu,huyo kifimbo nakaa nae mtaa mmoja kilimani,peter fashion hawez mfikia hata masanja mkandamizaji,,,,sasa nakupa list ya wachache ninaowafahamu

1…Bhanji
2…maneno
3…shabiby
4…saldina
Inawezekana dom hapajuh vzur
 
Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,

Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida

Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko

Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu

...ulikuwa masikini sasa unaelekea kuwa fukara.....
 
Sasa wewe umejuaje kama niwakimia ...Hawana kitu hao niviji pesa tu tembelea arusha uone mtu anapesa na anakuonesha na unaona ana nunua ndege ana jenga magorofa anasaidia watu ana jenga madaraja ana nunua migodi nakhthalika...sasa wewe unasema watu wakae kimia ? That's oviously u will see
Mbona hamuwataji hao matajir wenu wa arusha au hawana majina
 
Aha ha haa hata wao hao jamaa wananijua sana had huwa wanaombwa uzi ufungwe maana dude huwa naliamisha kweli kweli
Hahaha ha ha aisee kweli kabsaa mimi huwa na check mtanange huku Nakula popcorn full kucheka yaani ebu anzisha uzi mwingne aisee kule
 
Hahaha ha ha aisee kweli kabsaa mimi huwa na check mtanange huku Nakula popcorn full kucheka yaani ebu anzisha uzi mwingne aisee kule
Sawa mkuu kesho jumamos niko free siend job nitakinukisha
 
Boss ngasa ndio kitu gani? ni nani na anamiliki nini? blog? umemsahau le mbululaz pale dom.
 
Back
Top Bottom