Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

Sep 24, 2014
54
34
Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
 
Ofisi yao ya voil?

Nunua mkuu. Kwa vile ndo wanaanza lazima yawe na ubora ili kutafuta soko.
 
Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
Kama una budget ya kutosha nakushauri nunua ALAF haya wachina yote yanafanana. Utakuja kunikumbuka mwaka mmoja bati zimeshapauka. Hakika inakera.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
Hawana shida hao nadhani Kwa sababu ni wapya ndo maana bati zao Zina Bei ndogo na ubora ni standard
 
Mimi nimeezeka kwa kutumia mabati hayo ya Kampuni ya Taishan. Mpaka sasa sijaona mapungufu yake. Siwezi kui-guarantee kampuni hii, kwa kuwa ni mwaka mmoja umepita tangu niezeke. Sijui mbeleni kutakuwaje?View attachment 2439087

Una matumizi mabaya sana ya pesa mkuu
yaani mabati ya kuezeka nyumba nne umeezeka kwenye nyumba moja
 
Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
Wanauzaje kwa bando au kwa piece mkuu
 
Wako vizuri, na muda wao wa matazamio ni miaka 10
Chimbuko lake, ni mtu aliyefanya kazi miaka mingi dragon, akaamua naye kujiajiri; kwa hiyo machimbo yote ya huko nje wanakochukulia mali ghafi zenye ubora anazifahamu.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…