Mabalozi wa Tanzania wanaweza kuwashawishi Diaspora kuvaa mavazi yatakayoitangaza vema nchi kila ifikapo tarehe 9 au 26 ya kila mwezi

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,892
16,415
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi Infantry Soldier na classmate wangu Beautiful Nkosazana tupo wazima sana.

Hivi Tunao watanzania wangapi wanaoishi nje ya nchi kwa uhalali? Ni kwa namna gani na kwa mbinu ipi mabalozi/serikali inawatumia katika kuitangaza vema nchi yetu? Mimi maoni yangu ni haya;

Mabalozi wa Tanzania wanaweza kuwashawishi Diasporas kwa uungwana/diplomatically kuvaa t-shirts/mavazi yatakayoitangaza vema nchi yetu kila ifikapo tarehe 9 ama 26 ya kila mwezi. Public Relations Advice.
IMG_20181213_204337_885.jpg
IMG_20181213_204313_099.jpg

Kwanini ni tarehe 9 ama 26 ya kila mwisho wa mwezi? Jibu ni rahisi sana. Nimechagua tarehe 9 ama 26 kwa maana tarehe 9 ndio siku ambayo Tanganika ilipata uhuru na kuwa Jamuhuri kamili na tarehe 26 ndio Tanzania iliundwa.

Mavazi/T-shirts zinakuwa na ujumbe mmoja kwa lugha tofauti kulingana na lugha mama ya nchi husika.

(1) Marekani na Uingereza >>> Welcome to Tanzania the home of mount Kilimanjaro and Serengeti.

(2) Ujeremani >>> Willkommen in Tansania, der Heimat des Kilimanjaro und der Serengeti.

(3) Russia >>> Добро пожаловать в Танзанию, дом горы Килиманджаро и Серенгети

(4) Italy >>> Benvenuti in Tanzania, la patria del monte Kilimanjaro e del Serengeti

(5) France >>> Bienvenue en Tanzanie, la maison du mont Kilimandjaro et du Serengeti.

(6) China >>> 欢迎来到坦桑尼亚乞力马扎罗山和塞伦盖蒂的家

Inakuwa hivyo kila taifa tunaweka ujumbe mmoja kwa lugha yake mama.

Jenga picha tu ikifika tarehe 9 watanzania wote wa Ufaransa, Italia, Ujeremani ama Urusi wakafanya hivyo, matokeo chanya yake yapoje?

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. TOA MAONI NA USHAURI UTAKAOIJENGA NCHI YAKO ISONGE MBELE.
IMG_20181203_121456_984.jpg


VODACOM WAME-COPY "CONSTRUCTIVE IDEA" YANGU. NILIPENI JAMANI.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi Infantry Soldier na classmate wangu Beautiful Nkosazana tupo wazima sana.

Tunao watanzania wangapi wanaoishi nje ya nchi kwa uhalali? Ni kwa namna gani na kwa mbinu ipi mabalozi/serikali inawatumia katika kuitangaza vema nchi yetu? Mimi maoni yangu ni haya;

Mabalozi wa Tanzania wanaweza kuwashawishi Diasporas kwa uungwana/diplomatically kuvaa t-shirts/mavazi yatakayoitangaza vema nchi yetu kila ifikapo tarehe 9 ya kila mwezi. Public Relations Advice.
View attachment 967330View attachment 967332
Kwanini ni tarehe 9 ya kila mwisho wa mwezi? Jibu ni rahisi sana. Nimechagua tarehe 9 kwa maana ndio siku ambayo Tanzania ilipata uhuru na kuwa Jamuhuri kamili.

Mavazi/T-shirts zinakuwa na ujumbe mmoja kwa lugha tofauti kulingana na lugha mama ya nchi husika.

(1) Marekani na Uingereza >>> Welcome to Tanzania the home of mount Kilimanjaro and Serengeti.

(2) Ujeremani >>> Willkommen in Tansania, der Heimat des Kilimanjaro und der Serengeti.

(3) Russia >>> Добро пожаловать в Танзанию, дом горы Килиманджаро и Серенгети

(4) Italy >>> Benvenuti in Tanzania, la patria del monte Kilimanjaro e del Serengeti

(5) France >>> Bienvenue en Tanzanie, la maison du mont Kilimandjaro et du Serengeti.

Inakuwa hivyo kila taifa tunaweka ujumbe mmoja kwa lugha yake mama.

Jenga picha tu ikifika tarehe 9 watanzania wote wa Ufaransa, Italia, Ujeremani ama Urusi wakafanya hivyo, matokeo chanya yake yapoje?

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. TOA MAONI NA USHAURI UTAKAOIJENGA NCHI YAKO ISONGE MBELE.
View attachment 967341
Mkuu kuwa Mzalendo,ipende Nchi yako!
Sijakiona hiki Kibwagizo!
 
Hakuna nchi ya Tanzania ilipata uhuru tarehe 9.12.2018 katika dunia hii. Ila ipo Nchi ya Tanganyika ilipata uhuru tarehe hiyo. Usitulishe matangopori
Iwe tarehe 9 ama 26 tarehe yoyote ile inafaa ili mradi tu tunawatumia diasporas wetu kuitangaza vema Tanzania
 
Iwe tarehe 9 ama 26 yoyote ile inafaa ili mradi tu tunawatumia diasporas wetu kuitangaza vema Tanzania
Hiki unachosema ni kweli, ila hiki si kitu unatakiwa uwaambie wafanye, ni kitu kinatokea naturally, sasa jiulize kwann hakifanyiki?

Uzalendo kwa sasa ni shida kidogo, kwa huu ukandamizi na uonevu usitarajie moyo wa kizalendo...
 
Back
Top Bottom