Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
Hili nalo swali la kuuliza? Kwenye swimming pool diver ana umuhimu gani?

Wakati mwingine maswali ya kijinga hujibiwa kwa swali na ndio unapata jibu mwenyewe.
 
Hili nalo swali la kuuliza? Kwenye swimming pool diver ana umuhimu gani?

Wakati mwingine maswali ya kijinga hujibiwa kwa swali na ndio unapata jibu mwenyewe.
Usimlaumu pengine siyo mzaliwa wa Pwani kwa hivyo hajui hata baharia huwa anafanya nini kwenye meli.
 
Back
Top Bottom